KERO PEPMIS changamoto watumiaji wapewe taarifa

KERO PEPMIS changamoto watumiaji wapewe taarifa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Ludger07

New Member
Joined
Oct 23, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Kumekuwa na Kero ya kusuasua kwa mfumo wa PEPMIS kwa kitambo Sasa. Mara mtandao umefungwa, mara uliweka taarifa huzioni. Na mbaya zaidi hata huduma zile za kuunganishwa na Taasisi za fedha ni hazina ungano kwa Sasa.

Mimi binafsi nimepata changamoto katika maombi ya mkopo. Ambapo ninaambiwa kuwa sijaweka kazi zangu ndio maana nashindwa kuendelea na huduma hiyo ya kuomba mkopo kitu ambacho sio kweli.

Nimejaza majukumu yangu vizuri kabisa.. waziri wa wizara husika au wenye mammlaka na jambo hili watupe ufafanuzi.

Huduma hii ni nzuri, INASAIDIA kupunguza garama za muda na rasilimali fedha kutoka sehemu Moja kwenda nyingine hasa kwa sisi wa vijijini.
 
Nzuri kuombea mkopo na likizo tu, vingine hamna kitu.
 
Back
Top Bottom