Pepsi imepotea madukani

Kali _D

Senior Member
Joined
Feb 10, 2019
Posts
145
Reaction score
132
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
 
Pepsi zimeadimika sehemu kubwa nchini.

Wametuletea ma pepsi big zero sijui ya nini wakati hayana sukari yamejaza gesi tu ikiisha soda mbovu balaa
 
Kunywa maji tu mkuu au juyce ya kutengeneza achana na hizo chemical
Pepsi huwa inaondoa hang over za pombe licha ya hivyo kukosekana kwa kinywaji hicho kibiashara inawaathiri wafanyabiashara wengi bar, migahawa maduka rejareja etc
 
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Achana nayo kitu mirinda
 
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Unapigania haki ya kunywa kemikali.

Ungeniambia matunda yanapotea sokoni walah tungefanya dua la kitaifa.

Pepsi ziende tu maana zimeharibu maisha ya wengi kiafya
 
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Takbiiir
 
Huku zipo nyingi tu mbona?
 
Kinywaji cha soda aina ya pepsi kimeadimika katika maduka mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Ni vyema hatua za haraka zikachukuliwa kunusuru hali hiyo hasa tunapoelekea katika kipindi hichi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Yaani sikukuu na Pepsi? Ndo hatua zichukuliwe haraka? Hiyo ni biashara ya mtu atajijua
 
Pepsi zimeadimika sehemu kubwa nchini.

Wametuletea ma pepsi big zero sijui ya nini wakati hayana sukari yamejaza gesi tu ikiisha soda mbovu balaa
WNATUTAFUTIA AINA MPYA YA KUTUUWA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…