Pepsi wameharibu kabisa kuleta hizi big hazina radha. Zile chupa ndogo mwake

Pepsi wameharibu kabisa kuleta hizi big hazina radha. Zile chupa ndogo mwake

Ni kweli hizo soda zipo kama pepsi lite zinawafaa wenye kisukari hazina utamu kama zile ndogo.
 
Walivyo wajinga wanalazimisha hizo big zisizo na sukari ziuzwe kwa wingi kuliko zile ndogo hasara kubwa kwa wenye maduka ya vinywaji baridi
 
Likely the are using SACCHARIN SODIUM which is an Artificial Sweetener in place/instead of normal sugar obtained from Sugarcane.
 
Hizo n kwa ajil ya wagonjwa wa kisukari mkuu

Usilalamike mkuu zako n zile ndogo
Sasa si wasambaze kidogo!!?wanapoleta mikreti kibao utazani mkoa fulani wote wanakisukari!!,juz niliagiza soda Pepsi baridi,mhudumu akaniletea huo m-big nikamwambia rudisha huo mchupa,bola ninywe maji tu ya kawaida ,ijulikane moja sio huo msoda,maji sio maji ,soda sio soda.
 
Likely the are using SACCHARIN SODIUM which is an Artificial Sweetener in place/instead of normal sugar obtained from Sugarcane.
wanatutafutia maradhi hawa!!Kama wameanza kutunywesha artificial sweeteners ,si maradhi hayo wanatupatia .
 
Back
Top Bottom