Perez ni mzee wa black deals, kuna alichopanga subirini suprise

lukaku hua ananishangaza sana, hv straiker gan ana kilo 94? Tena kumbuka hapo amejitahd sana kupunguza alikua na 100.2kg, mtu upo uwanjani lakn kama upo windo Mwe...
Ahahahah umenifurahisha japo umedandia mada
 
Mkuu Dogo anajua asee hasa kwa umri wake ila kumlinganisha na henry moja kwa moja ni kukosa nidham ya mpira, Thiery namna alivyokua anakimbia na mpira sijapata ona kwa mchezaji yeyote, Kitu alichokua anashangaza weng mpk ma bek ni namna alivyokua anaacha kufuata goli direct analifuata kwenye angle halaf mskilizie sasa. Angalia WC ya 98 the same age aliyonayo mbape sasa ndo utajua henry was henry , walimlinganisha na walcot akasanda, akaja martial ameshasanda n.k n.k
Guys hebu tuweni serious kidogo....hiv mbape ana kipi cha kufanya watu wamwogope.
 
Neymar pancha zitamaliza soka lake,..
Hazard pia yuko vzr ila wakiwabeba wote tim itatulia kidogo
 
lukaku hua ananishangaza sana, hv straiker gan ana kilo 94? Tena kumbuka hapo amejitahd sana kupunguza alikua na 100.2kg, mtu upo uwanjani lakn kama upo windo Mwe...
Drogba Kuna wkt alikuwa na 95, shughulii yake kamuulize Nemanja Vidic atakueleza
 
Mbna hapa hmna cha ajabu wala black deal,kamuuza cr7 wana hela kumbeba mchezaji yyte na gawavunji ffp,nothing new wala fitna hakuna,money talks.
Hyo hela yenyewe wanakipwa kwa installment ya miaka miwili
 
Pesa inahamisha Milima. Unaweza kujenga katikati ya bahari kama una fweza. Perez hana lolote zaidi ya kupenyeza rupia kila penye udhia...
 
Mleta mada kuna post yako kule habari mchanganyiko...juu ya usafir kutoka Moro kwenda Dodoma na Basi la kampuni fulani hivi...mpaka sasa bado inanichekesha kimoyo moyo.
=====
Viongozi wote wa Madrid na Barca...ni wa deal tatanishi...! Zile faini, za akina Neymar, Messi, na Sasa C. Ronaldo kuna uwezekano zina mikono yao ama kwa 'kutaka' kuwa blackmail wachezaji ama ni katika utaratibu wao wa kuwaibia wachezaji haki zao na baadhi ya vitengo vya mamlaka ya nchi hiyo.
 
Guys hebu tuweni serious kidogo....hiv mbape ana kipi cha kufanya watu wamwogope.
hawa ni aina ya wachezaji wa matokeo uwanjani... hana mbwembwe nyingi anakasi, accurace ya juu, mashuti yameshiba.. Kiufupi nampa rate 9/10 kwa shughuli yake uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…