zero 123
Member
- Jul 8, 2018
- 13
- 5
Ahahahah umenifurahisha japo umedandia madalukaku hua ananishangaza sana, hv straiker gan ana kilo 94? Tena kumbuka hapo amejitahd sana kupunguza alikua na 100.2kg, mtu upo uwanjani lakn kama upo windo Mwe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahah umenifurahisha japo umedandia madalukaku hua ananishangaza sana, hv straiker gan ana kilo 94? Tena kumbuka hapo amejitahd sana kupunguza alikua na 100.2kg, mtu upo uwanjani lakn kama upo windo Mwe...
Guys hebu tuweni serious kidogo....hiv mbape ana kipi cha kufanya watu wamwogope.
Drogba Kuna wkt alikuwa na 95, shughulii yake kamuulize Nemanja Vidic atakuelezalukaku hua ananishangaza sana, hv straiker gan ana kilo 94? Tena kumbuka hapo amejitahd sana kupunguza alikua na 100.2kg, mtu upo uwanjani lakn kama upo windo Mwe...
Hapo kwenye red sio kweli.Perez kawa Perez alimnunua CR7 na kumleta mourinho kabla ya hapo alikuwa boya tu
Hyo hela yenyewe wanakipwa kwa installment ya miaka miwiliMbna hapa hmna cha ajabu wala black deal,kamuuza cr7 wana hela kumbeba mchezaji yyte na gawavunji ffp,nothing new wala fitna hakuna,money talks.
Hazard na icardiHakuna mbadala sahihi wa Ronaldo.
Ila Neymar anafaa kuliko hazard,na kama watamchukua hazard itawabidi watafute forward kaliba ya harry Kane au Kane mwenyewe wakiweza.
Mbona unatoka nje mada mkuu?lukaku hua ananishangaza sana, hv straiker gan ana kilo 94? Tena kumbuka hapo amejitahd sana kupunguza alikua na 100.2kg, mtu upo uwanjani lakn kama upo windo Mwe...
Kanda ya Mashariki.... Morogoro, PWANI na DSMHazard mpambanaji, Neymar bora akacheze Umiseta kanda ya mashariki
Harry Kane 98kgDrogba Kuna wkt alikuwa na 95, shughulii yake kamuulize Nemanja Vidic atakueleza
Hana lolote, basi tu anakuzwa bila sababu za msingi, sijaona lolote la kutisha kwa Mbappe.Guys hebu tuweni serious kidogo....hiv mbape ana kipi cha kufanya watu wamwogope.
hawa ni aina ya wachezaji wa matokeo uwanjani... hana mbwembwe nyingi anakasi, accurace ya juu, mashuti yameshiba.. Kiufupi nampa rate 9/10 kwa shughuli yake uwanjaniGuys hebu tuweni serious kidogo....hiv mbape ana kipi cha kufanya watu wamwogope.