Perfect Chikwende wa FC Platnums asajiriwa Simba SC

Amekuja kuchukua nafasi ya Morrisson.......japo shida ya mikia ni angalau wapate beki mwenye kasi kidogo......
Beki wa kasi awe anakimbia kutoka wapi kwenda wapi? Maana umbali anaosimama beki wa kati hadi golikipa ni mdogo sana wala hauhitaji mbio. Watu wamekariri tu beki mwenye kasi, ukiuliza matumizi ya hiyo kasi jibu hawana
 
Ilibadilisha lini huo mfumo wa kisasa?
 
Beki wa kasi awe anakimbia kutoka wapi kwenda wapi? Maana umbali anaosimama beki wa kati hadi golikipa ni mdogo sana wala hauhitaji mbio. Watu wamekariri tu beki mwenye kasi, ukiuliza matumizi ya hiyo kasi jibu hawana
Utaelewa baadaye,saizi huwezi kuelewa
 
Hizi sajili nyingine hizi, sijui wanazingatia nini hasa.

Tuna safari ndefu bado
 
Mchezaji ukiifunga Tu Simba au Yanga, Wanakusajili..

Kama hakuna kabisa recruitment professionals...

Diogo Jota kabla ya kusajiliwa Liverpool alitazamwa na kufuatiliwa miaka miwili..

Sisi mchezaji anatazamwa mechi moja Tu

Anasajiliwa..

Mchezaji ukiifunga tu Simba au Yanga wanakusajili.

Kama hakuna kabisa recruitment professionals.

Diogo Jota kabla ya kusajiliwa Liverpool alitazamwa na kufuatiliwa miaka miwili.

Sisi mchezaji anatazamwa mechi moja tu anasajiliwa.

Comment ya The Boss ni ya saa 1:45, hii yako ni ya saa 1:49.
 
Simba imeshafika, ndio maana kuingia makundi ya CAF CL kimeshakuwa kitu cha kawaida. Wenye safari ndefu ni hao wengine wanaotolewa mapema au wasiopata nafasi kabisa
Ngumu kunielewa
 
Nimeona juzi morson kule zanzibar anajitahidi kurudisha mahusiano na Yanga,akawa anajiweka karibu na mashabiki na wachezaji wa yanga akihojiwa na vyombo vya habari haongei shit kuhusu yanga bali anawapongeza kuwa wmeimarika .Anatafuta namna ya kurudi nyumbani kumenoga maana kule kipaji chake kinakaribia kuzikwa?
 
Wabongo tunajifanya wajuaji sana hivi unafikili Simba kumsajili Chikwende ni wajinga kalibu viongozi wote pale waliuona uwezo wa Chikwende akiwemo na kocha aliyeondoka sasa haya mambo ya kujifanya mnajua wakati hata timu ya kijiji chako hujawahi kuishauli
 
Simba pesa ipo 1.2bilioni inakuja kwenye akaunti presha ya nini?

Uto nasikia Dante nae anaenda CAS kuwadai, yule Tambwe nae bado hamjamlipa, Zahera nae anawadai, toeni umbea wenu huku mkawalipe hao wanaowadai.

Madeni FC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…