Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Beki wa kasi awe anakimbia kutoka wapi kwenda wapi? Maana umbali anaosimama beki wa kati hadi golikipa ni mdogo sana wala hauhitaji mbio. Watu wamekariri tu beki mwenye kasi, ukiuliza matumizi ya hiyo kasi jibu hawanaAmekuja kuchukua nafasi ya Morrisson.......japo shida ya mikia ni angalau wapate beki mwenye kasi kidogo......