SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Na Loris Karius alifuatiliwa miaka mingapi? Hata huko ulaya mara nyingi klabu zinasajili wachezaji waliokwisha onesha viwango timu walizokuwepo, halafu pamoja na kuwa hivyo wanaoflop ni wengi tu.Some time usajili ni kama kamari tu.Mchezaji ukiifunga Tu Simba au Yanga, Wanakusajili..
Kama hakuna kabisa recruitment professionals...
Diogo Jota kabla ya kusajiliwa Liverpool alitazamwa na kufuatiliwa miaka miwili..
Sisi mchezaji anatazamwa mechi moja Tu
Anasajiliwa..
Utopolo mbona mna wivu sanaNyege zikiisha wanashangaa kumbe ni Papa Ndawah mpya
Unataka kusemaje don kwamba kukumsela kakopi na kupaste au kukumsela ndio the boss!?
Na nyie utopolo saido bila kuifunga staz mngemsajiliManyau-nyau fc kila anayewatia goli mnataka mumsajili.
Football is all about predictionsMchezaji ukiifunga Tu Simba au Yanga, Wanakusajili..
Kama hakuna kabisa recruitment professionals...
Diogo Jota kabla ya kusajiliwa Liverpool alitazamwa na kufuatiliwa miaka miwili..
Sisi mchezaji anatazamwa mechi moja Tu
Anasajiliwa..
staz ndo utopolo?Na nyie utopolo saido bila kuifunga staz mngemsajili
Upo kwenye benchi la ufundi au ndio kila kitu tunajua tuuHizi sajili nyingine hizi, sijui wanazingatia nini hasa.
Tuna safari ndefu bado
Duh hata comment mtu ana copy
Very funny
Kama kitu hukijui ni heri kukaa kimya ili usiaibike, Ligi ya Mabingwa hawezi kucheza kwa kuwa tayari ameishaichezea Platinum.ni usajili MZURI
Tunakwenda ligi ya mabingwa Africa lazma tuwe na wachezaji wa level za ligi ya mabingwa Africa.
Halafu kila mwisho wa sentence alikuwa anaongeza nukta kadhaa, nafikiri alitaka kujitofautisha.
Kama kitu hukijui ni heri kukaa kimya ili usiaibike, Ligi ya Mabingwa hawezi kucheza kwa kuwa tayari ameishaichezea Platinum.
Nendeni mkamtibu kwanza Morrisson,maana anahenia tayari....ashatolewa mshipa huko......Utopolo mbona mna wivu sana
Kila anayeifunga simba lazma wamsajil
Za Kichuya mshalipa?Simba pesa ipo 1.2bilioni inakuja kwenye akaunti presha ya nini?
Uto nasikia Dante nae anaenda CAS kuwadai, yule Tambwe nae bado hamjamlipa, Zahera nae anawadai, toeni umbea wenu huku mkawalipe hao wanaowadai.
Madeni FC.
Yanga na Simba hawana tofauti...... SAID NTIBAZONKIZA...alitufunga goli moja hapa kwa Mkapa mechi ya kirafiki Taifa Stars na Burundi.......kesho yake asubuhi tunamuona anasajiliwa timu ya Yanga.....Simba na Yanga bado sana kwenye usajiliSimba ukitaka wakusajili wapige goli tu[emoji23][emoji23][emoji23]