Perfect Chikwende wa FC Platnums asajiriwa Simba SC

Perfect Chikwende wa FC Platnums asajiriwa Simba SC

Mbona hawa kima wa Utopolo wanaumia sana na mambo ya Simba? Mbona nyie mlisajili mcheza baikoko tena kwa maandamano kumpokea airport sisi tukapiga kimya tu?
FB_IMG_1597331622362.jpg
 
Mchezaji ukiifunga Tu Simba au Yanga, Wanakusajili..

Kama hakuna kabisa recruitment professionals...

Diogo Jota kabla ya kusajiliwa Liverpool alitazamwa na kufuatiliwa miaka miwili..

Sisi mchezaji anatazamwa mechi moja Tu

Anasajiliwa..
Na Loris Karius alifuatiliwa miaka mingapi? Hata huko ulaya mara nyingi klabu zinasajili wachezaji waliokwisha onesha viwango timu walizokuwepo, halafu pamoja na kuwa hivyo wanaoflop ni wengi tu.Some time usajili ni kama kamari tu.

Kwa hiyo kama unapinga usajili wa chikwende unatakiwa ulete takwimu zake akiwa fc platinum kwamba zinaonesha hafai.
 
Unataka kusemaje don kwamba kukumsela kakopi na kupaste au kukumsela ndio the boss!?

Hahaha, kimtazamo naona ni watu wawili tofauti.

Nimeshangaa kwamba mawazo yamekuwa sawasawa isipokuwa uandishi tu ndo umetofautiana kidogo. Kila sentence ya Kukumsela ilikuwa anamalizia na ...(nukta 3 au 2) wakati mwenzake ilikuwa nukta 1 tu.
 
Mchezaji ukiifunga Tu Simba au Yanga, Wanakusajili..

Kama hakuna kabisa recruitment professionals...

Diogo Jota kabla ya kusajiliwa Liverpool alitazamwa na kufuatiliwa miaka miwili..

Sisi mchezaji anatazamwa mechi moja Tu

Anasajiliwa..
Football is all about predictions

Now days usajili umekuwa Gamble ni kama vile unafanya Substution tu ,Ukifanya usajili ni sawa na kucheza kamali.

Vipi kuhusu Allison Becker tulimfunga mechi 2 Goli 7 mbona tulimsajili Mkuu??Vipi kuhusu Adrian yeye tulimfanyia scouting Mkuu??.
 
Chikwende ni pendekezo la kocha gani? Au Matola?
 
ni usajili MZURI
Tunakwenda ligi ya mabingwa Africa lazma tuwe na wachezaji wa level za ligi ya mabingwa Africa.
Kama kitu hukijui ni heri kukaa kimya ili usiaibike, Ligi ya Mabingwa hawezi kucheza kwa kuwa tayari ameishaichezea Platinum.
 
Ina maana haujui Kama Simba wamepewa nafasi na CAF ya kuongeza wachezaji?
Au wewe unajua Sana KUSHINDA Simba?
Kama kitu hukijui ni heri kukaa kimya ili usiaibike, Ligi ya Mabingwa hawezi kucheza kwa kuwa tayari ameishaichezea Platinum.
 
Saa saba imepita kimya no confirmation from the club, hzi rumours zina ukweli?
 
Simba ukitaka wakusajili wapige goli tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga na Simba hawana tofauti...... SAID NTIBAZONKIZA...alitufunga goli moja hapa kwa Mkapa mechi ya kirafiki Taifa Stars na Burundi.......kesho yake asubuhi tunamuona anasajiliwa timu ya Yanga.....Simba na Yanga bado sana kwenye usajili
 
Back
Top Bottom