Perfect Chikwende: What a waste!

Perfect Chikwende: What a waste!

Yanga wamekuwa wakichezesha wachezaji tofauti kila wakati na haijawasaidia kubeba kombe.

Mchezaji kisajiliwa ni jambo moja na kuoata nafasi ya kucheza ni juhudi binafsi za kujituma.

Huwezi kuweka wachezaji wanaokupa matokeo benchi ili tu mchezaji fulani acheze.
Mapinduz walichukua mwezi wa wakwanza kwa kumfunga Simba hayo pia ni mafanikio
 
Back
Top Bottom