Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 274
- Thread starter
-
- #21
Doooh hana chake tena chaliangu akati pindi alilichora mwenyewe nakumbuka siku lina'introduziwa Dr.Isaac Maro aliizungumzia kidogo pindi anamalizia njia panda.
Doooh hana chake tena chaliangu akati pindi alilichora mwenyewe nakumbuka siku lina'introduziwa Dr.Isaac Maro aliizungumzia kidogo pindi anamalizia njia panda.
Aah kile kipindi perfecto yuko mapumziko,Pia alikua anafanya Mamiloo ZizaKuna kipindi pia 255 alipewa Kennedy na alitisha mbaya..juzi kati hapa ndo wakamrudisha..
Perfecto Mnyama mkali uko yente ariff sema kuna vitu baadhi unalocha dingi angu asee.Mkuu heshimu taaluma ya mtu.Unajua ni kiasi gani nime HUSTLE kuipata nafasi hiyo??Unazingua sana mkuu
Hahaha, relax [emoji3][emoji3]Mkuu heshimu taaluma ya mtu.Unajua ni kiasi gani nime HUSTLE kuipata nafasi hiyo??Unazingua sana mkuu
Khaa unazungumzia nn hapo?ebu fafanua chaliangukila nikifikiria yule waziri aliyemnunulia alteza na kumlipia kodi nyumba nabaki kusema HIIIIIIIIIII,jamaniiiii na kikashfa aalichonacho sasa hivi yule waziri...kazi ipo mjini hapa
Hundred percentHalafu jamaa eti naskia ni mchicha mwiba
Sio nguvu ya tako? Ngoja nimpigie dudubayaMkuu heshimu taaluma ya mtu.Unajua ni kiasi gani nime HUSTLE kuipata nafasi hiyo??Unazingua sana mkuu