Perfomance Mbovu ya wasanii wakongwe kwenye Serengeti Festival 2021 Dodoma

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Wahenga wanasema vya kale dhahabu,mavi ya kale hayanuki,na uzee dawa lakini hali ni tofauti kwenye upande wa bongo fleva,ya kale yamekua kokoto za Kunduchi,wazee wetu pumzi zimekata,mistari wamesahau,umiliki wa jukwaa zero kabisa ....wateule hasa Jafarai na Mchizi mox hamna kitu kabisa,Salute kwa Chid Benz na Bushoke.
 
Hongera pia zimwendee Madee jamaa yupo vzr ana energy kubwa sn on stage ...

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tamasha La Ujanjaujanja
Watu Wanaimba Huku Wameweka CD
😶😏
 
Tamasha La Ujanjaujanja
Watu Wanaimba Huku Wameweka CD
😶😏
Huoni jamaa anamsifu Madee kua ana pumzi kwenye stage?
Wajinga huwa hawaishi kwasababu kila kizazi kina wajinga ambao wapo kwa muda huo,na wale upcomings.
 
Kabisa
Ndiyo Maana Watu Wanapigwa Cash
Tena Wasomi Unawakuta Kwenye Mikopo Umiza
 
Wahenga wanasema vya kale dhahabu,mavi ya kale hayanuki,na uzee dawa lakini hali ni tofauti kwenye upande wa bongo fleva,ya kale yamekua kokoto za Kunduchi,wazee wetu pumzi zimekata,mistari wamesahau,umiliki wa jukwaa zero kabisa ....wateule hasa Jafarai na Mchizi mox hamna kitu kabisa,Salute kwa Chid Benz na Bushoke.
Hivi watu wanafanya matamasha bado na Covid yote hii?
 
Wahenga wanasema vya kale dhahabu,mavi ya kale hayanuki,na uzee dawa lakini hali ni tofauti kwenye upande wa bongo fleva,ya kale yamekua kokoto za Kunduchi,wazee wetu pumzi zimekata,mistari wamesahau,umiliki wa jukwaa zero kabisa ....wateule hasa Jafarai na Mchizi mox hamna kitu kabisa,Salute kwa Chid Benz na Bushoke.

King Kong CHUMA mwili umerudi hongera sana kweli HipHop Bila Madawa inawezekana.

MADAWA.jpg
 
Sijawahi kwenda kwenye ugolo kama huo.bora taarabu au live band,unapata roho inapenda kabisa
 
Mi kwenye taarab napenda wadada wanaokuja na madera bila pichu ila niliacha kwenda nilipoona wanaume wakike wengi nikajisemea moyoni huu usenge sasa
 
Hivi hili tamasha bado lipogo ..!! Akii uzee huu
 
Mc (Rdj Fido)aka Mpiga kelele aliua sana namkubali kicheez huyu mwamba na mwenzake Samio,,Come oooon Sogea toka hapa.
 
Back
Top Bottom