Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Wahenga wanasema vya kale dhahabu,mavi ya kale hayanuki,na uzee dawa lakini hali ni tofauti kwenye upande wa bongo fleva,ya kale yamekua kokoto za Kunduchi,wazee wetu pumzi zimekata,mistari wamesahau,umiliki wa jukwaa zero kabisa ....wateule hasa Jafarai na Mchizi mox hamna kitu kabisa,Salute kwa Chid Benz na Bushoke.