Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Hongera pia zimwendee Madee jamaa yupo vzr ana energy kubwa sn on stage ...Wahenga wanasema vya kale dhahabu,mavi ya kale hayanuki,na uzee dawa lakini hali ni tofauti kwenye upande wa bongo fleva,ya kale yamekua kokoto za Kunduchi,wazee wetu pumzi zimekata,mistari wamesahau,umiliki wa jukwaa zero kabisa ....wateule hasa Jafarai na Mchizi mox hamna kitu kabisa,Salute kwa Chid Benz na Bushoke.
Hongera pia zimwendee Madee jamaa yupo vzr ana energy kubwa sn on stage ...
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile
Tamasha La Ujanjaujanja
Watu Wanaimba Huku Wameweka CD
[emoji55][emoji57]
Huoni jamaa anamsifu Madee kua ana pumzi kwenye stage?Tamasha La Ujanjaujanja
Watu Wanaimba Huku Wameweka CD
πΆπ
KabisaHuoni jamaa anamsifu Madee kua ana pumzi kwenye stage?
Wajinga huwa hawaishi kwasababu kila kizazi kina wajinga ambao wapo kwa muda huo,na wale upcomings.
Hivi watu wanafanya matamasha bado na Covid yote hii?Wahenga wanasema vya kale dhahabu,mavi ya kale hayanuki,na uzee dawa lakini hali ni tofauti kwenye upande wa bongo fleva,ya kale yamekua kokoto za Kunduchi,wazee wetu pumzi zimekata,mistari wamesahau,umiliki wa jukwaa zero kabisa ....wateule hasa Jafarai na Mchizi mox hamna kitu kabisa,Salute kwa Chid Benz na Bushoke.
Sisi tumechagua herd immunityHivi watu wanafanya matamasha bado na Covid yote hii?
"Covid ipo wapi aisee? Usituchanganye!"Hivi watu wanafanya matamasha bado na Covid yote hii?
I have to laugh and to take it for a joke."Covid ipo wapi aisee? Usituchanganye!"
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania is covid-19 free according to Mr. Know-it-all, kibwengo πΏ JiweHivi watu wanafanya matamasha bado na Covid yote hii?
Wahenga wanasema vya kale dhahabu,mavi ya kale hayanuki,na uzee dawa lakini hali ni tofauti kwenye upande wa bongo fleva,ya kale yamekua kokoto za Kunduchi,wazee wetu pumzi zimekata,mistari wamesahau,umiliki wa jukwaa zero kabisa ....wateule hasa Jafarai na Mchizi mox hamna kitu kabisa,Salute kwa Chid Benz na Bushoke.
Yeah, it's a joke Fadha, that's why i used quotation marks!I have to laugh and to take it for a joke.
Although it is a "dead serious" matter
Mi kwenye taarab napenda wadada wanaokuja na madera bila pichu ila niliacha kwenda nilipoona wanaume wakike wengi nikajisemea moyoni huu usenge sasaSijawahi kwenda kwenye ugolo kama huo.bora taarabu au live band,unapata roho inapenda kabisa