Yoweri Museveni Yanga, Paul Kagame Yanga!
Nyumbani kwangu hakuna rangi ya njano au kijani, akija mgeni na nguo hizo tunampa kiti nje na kama ni mgeni atakaa siku kadhaa na kama tunamheshimu sana nitaagiza wachukue nguo zote za rangi hiyo waende wazifue hata kama ni safi halafu wazifiche, siku akitaka kuondoka atapewa.
Hebu Nitakuja Kukutembelea
Mbona sasa Yanga ni wengi? Kumbe Simba ilipoifunga Yanga 5-0 watu walioumia walikuwa wengi sana!
Wewe mwenyewe inatakiwa uhamie YANGA
Mbona hapa walikuwa wanafurahi?Nyerere (RIP), Mwinyi, Mkapa na Kikwete - Yanga.
Mbona sasa Yanga ni wengi? Kumbe Simba ilipoifunga Yanga 5-0 watu walioumia walikuwa wengi sana!
vipigo vya 2-0 ni vingi mno na vya kawaida sana. Lakini kuna watu waligombea uenyekiti wa klabu ili kutafuta 5-0, na wakaomba kuongezewa mwaka mmoja zaidi, bado 5-0 haijapatikana. Lakini 2-0 zipo nyingi tu, hata wao wametoka kupigwa juzi tuVipi na wewe leo umeumia sana?
kwendeni zenu huko mayebo-yebo
Wajanja wote tuko Yanga, timu ya wananchi....