Perfomance Ya YANGA yafichua ushabiki wa MWIGULU NCHEMBA

Perfomance Ya YANGA yafichua ushabiki wa MWIGULU NCHEMBA

Nyumbani kwangu hakuna rangi ya njano au kijani, akija mgeni na nguo hizo tunampa kiti nje na kama ni mgeni atakaa siku kadhaa na kama tunamheshimu sana nitaagiza wachukue nguo zote za rangi hiyo waende wazifue hata kama ni safi halafu wazifiche, siku akitaka kuondoka atapewa.

Teh Teh
Hebu Nitakuja Kukutembelea
 
Mbona sasa Yanga ni wengi? Kumbe Simba ilipoifunga Yanga 5-0 watu walioumia walikuwa wengi sana!
 
Full of dictators. Nasikia hata Omar Bongo, Gadafi, Saadam, Mobutu na hata PW Botha walikuwa Yanga.

Sisi tunaendesha kinguvu tu watoto wa mama mtakoma,
Osama (R.I.P) Yanga.
 
Last edited by a moderator:
Wewe mwenyewe inatakiwa uhamie YANGA

Napenda kuhamia Yanga, ila nogopa kuumizwa na hii:


attachment.php
 
Vipi na wewe leo umeumia sana?
vipigo vya 2-0 ni vingi mno na vya kawaida sana. Lakini kuna watu waligombea uenyekiti wa klabu ili kutafuta 5-0, na wakaomba kuongezewa mwaka mmoja zaidi, bado 5-0 haijapatikana. Lakini 2-0 zipo nyingi tu, hata wao wametoka kupigwa juzi tu
 
Asante kwa kunitaja,kwa kuon gezea tu,hata mke wangupia yanga,mwanangu wa miezi 4 yanga,jamal malinzi yanga,ledgar tenga yanga

poa poa hata Simba wote sasa ni yanga.
 
Last edited by a moderator:
Wajanja wote tuko Yanga, timu ya wananchi....

... na Simba wako akina nani? Jibu liwe na herufi 9 tu likianzia na 'm' na kuishia na 'u', herufi 3 za mwanzo ni lazima zijirudie mara 3 without excuse; chanzo cha hilo jibu ni lazima kiwekwe wazi, no plagiarism!
 
Back
Top Bottom