Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza kuwa kweli au si kweli .Itategemea hiyo preparation ulifanya kwenye mambo gani na issue halisi ilikuwa na mambo gani.Ni sawa na tulivyozoea "practice make perfect" ila siku hizi ni "perfect practice make perfect" kwani ukifanya mazoezi kwa kukosea usitegemee perfection kwa hiyo ili upate perfection mazoezi inabidi yawe ni sahihi. "If you are getting the same wrong results,it means you are doing the same procedure in order to get a different result you need to change the way you think/perceive things". Ila ukifanya maandalizi kabla ya inaweza kupunguza uwezekano wa poor performance."It is better to be prepared and have no job than to have a job when you are not prepared".Jaman naomba kuuliza. Et watu wanaposema kuwa "prior preparation prevents poor performance" ni kweli au?
Wewe ulitaka post preparation au?
Ningependa nipate hilo somo, naona lingenifaa sana.Kwenye discourse analysis kuna kitu wanaita 'insertion point' [katika Conversation analysis (CA)], kumaanisha exactly hicho ulichokifanya. Imenikumbusha shule.
Yaani; Q (Q-A) A (Q=question, A= answer)
Ningependa nipate hilo somo, naona lingenifaa sana.
Hili pia ni maieutic method ambapo unamwachia kujibu yeye ili apate ukweli.
Gurta: Umenielewa?Well, nadhani una basic idea ya Conversation analysis (CA). CA can be understood as a method of investigating the structure and process of social interaction between humans (Peräkylä, 2008). Sasa moja ya areas of interest kwenye CA ni norms of conversation, i.e. vitu kama vile turn taking, repair, topic choice and maintenance, etc.
Idea ya insertion sequence ni kuwa the next speaker produces a first pair part instead of a second pair part in response to the current speaker's first pair part, ndio maana nikaweka kama Q (Q-A) A.
Mf.A: Mbuga ya Serengeti ipo mkoa gani?
B: Kwani wewe unaishi nchi gani?
A: Tanzania.
B: Ipo mkoa wa Mara.
Sio lazima iwe ni QA situation, inaweza kuwa statement au vinginevyo, lakini QA situation ni most widely used kuonesha insertion.
Gurta: Sharing is carrying (Maxence Melo)
Nilidhani niki insert quotation after a quotation inatosha. Kumbe lazima neno lile lile?I don't remember to have said that, or did I?:A S 39: