Performance

Performance

Fredrich

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
11
Reaction score
0
Jaman naomba kuuliza. Et watu wanaposema kuwa "prior preparation prevents poor performance" ni kweli au?
 
Jaman naomba kuuliza. Et watu wanaposema kuwa "prior preparation prevents poor performance" ni kweli au?
Inaweza kuwa kweli au si kweli .Itategemea hiyo preparation ulifanya kwenye mambo gani na issue halisi ilikuwa na mambo gani.Ni sawa na tulivyozoea "practice make perfect" ila siku hizi ni "perfect practice make perfect" kwani ukifanya mazoezi kwa kukosea usitegemee perfection kwa hiyo ili upate perfection mazoezi inabidi yawe ni sahihi. "If you are getting the same wrong results,it means you are doing the same procedure in order to get a different result you need to change the way you think/perceive things". Ila ukifanya maandalizi kabla ya inaweza kupunguza uwezekano wa poor performance."It is better to be prepared and have no job than to have a job when you are not prepared".
 
Wewe ulitaka post preparation au?

Kwenye discourse analysis kuna kitu wanaita 'insertion point' [katika Conversation analysis (CA)], kumaanisha exactly hicho ulichokifanya. Imenikumbusha shule.
Yaani; Q (Q-A) A (Q=question, A= answer)
 
Kwenye discourse analysis kuna kitu wanaita 'insertion point' [katika Conversation analysis (CA)], kumaanisha exactly hicho ulichokifanya. Imenikumbusha shule.
Yaani; Q (Q-A) A (Q=question, A= answer)
Ningependa nipate hilo somo, naona lingenifaa sana.
Hili pia ni maieutic method ambapo unamwachia kujibu yeye ili apate ukweli.
 
Ningependa nipate hilo somo, naona lingenifaa sana.
Hili pia ni maieutic method ambapo unamwachia kujibu yeye ili apate ukweli.

Well, nadhani una basic idea ya Conversation analysis (CA). CA can be understood as a method of investigating the structure and process of social interaction between humans (Peräkylä, 2008). Sasa moja ya areas of interest kwenye CA ni norms of conversation, i.e. vitu kama vile turn taking, repair, topic choice and maintenance, etc.

Idea ya insertion sequence ni kuwa the next speaker produces a first pair part instead of a second pair part in response to the current speaker's first pair part, ndio maana nikaweka kama Q (Q-A) A.

Mf.
A: Mbuga ya Serengeti ipo mkoa gani?
B: Kwani wewe unaishi nchi gani?
A: Tanzania.
B: Ipo mkoa wa Mara.

Sio lazima iwe ni QA situation, inaweza kuwa statement au vinginevyo, lakini QA situation ni most widely used kuonesha insertion.
 
Gurta: Umenielewa?
Mwali: Yani na maelezo yote hayo ulidhani nitashindwa kuelewa?
Gurta: Kuna ambao hawaelewi
Mwali: Mi nimeelewa, asante. 🙂

and lemme try in a non-QA situation:

Mwali: There is hardly anything sexier than being outsmarted (E. Numbi)
Gurta: Sharing is carrying (Maxence Melo)
Mwali: Nashukuru kwa somo
Gurta: Nashukuru umelipokea
 
I don't remember to have said that, or did I?:A S 39:
Nilidhani niki insert quotation after a quotation inatosha. Kumbe lazima neno lile lile?

Mwali: There is hardly anything sexier than being outsmarted (E. Numbi)

Gurta: Being outsmarted by a smart person, that is...
Mwali: Nashukuru kwa somo
Gurta: Nashukuru umelipokea

Is this better?
 
Mwali,

My problem was with the use of "Sharing is carrying" (that bolded part). I thought it should be "caring".

The construction was OK that's why I liked it.
 
Last edited by a moderator:
Mwali,

My problem was with the use of "Sharing is carrying" (that bolded part). I thought it should be "caring".

The construction was OK that's why I liked it.
Oh true. Carrying is to carry, sio? Asante. Naona nitajifunza mengi sana toka kwako
 
Back
Top Bottom