nahisi nitakuwa mchafu, kwasababu ni miaka mingi sana nilinunua au kutumia perfume. huwa sihisi umuhimu hata wa kuinunua, mimi nikioga, nikavaa nguo zangu safi, na ninaona sitoi harufu, maisha yanaendelea, kuanza kupita sehem watu wanaziba pua kama kapita demu maisha hayo yalikuwa ujanani aisee.Naomba kujuzwa perfume hio inayoweza kukaa katika nguo hata miezi au mwaka haitoki mm ni mvivu kununua mara kwa mara
perfume ambayo ukipakaa anaisikia wa pembeni tu
Hii nikiisikia nahisi kufakufa!Kurusumu
Kuvutiwa na harufu unamanisha?hta sijui jina kwa kweli ninazo tatu zote sijui majina naendaga nikivutiwa nanunua ...
nanusa huku madukani.. niliyonayo hapa kwenye pochi chupa yake sioni jina nadahi ilikuwa kwenye box lakeKuvutiwa na harufu unamanisha?
Kurusumu
Dah... Kwa mfano wewe ulitaka watu wawaze nini Hasa? [emoji13] [emoji13]Yani nyakati hiz kuna watu wanawaza mambo ya pafyumu kweli!!!!!! Mi nilidhan kuna mambo mengi ya kuwaziwa kumbe hta pafyumu nazo zinastahil zimalize MB za ubongo
Hii kitu ya ukweli asee[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Siiipendi kaa nini yaani mtu akikupita tuu mita 500 unaisikia na bado harufu inabaki mtaa mzima