Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,472
nahisi nitakuwa mchafu, kwasababu ni miaka mingi sana nilinunua au kutumia perfume. huwa sihisi umuhimu hata wa kuinunua, mimi nikioga, nikavaa nguo zangu safi, na ninaona sitoi harufu, maisha yanaendelea, kuanza kupita sehem watu wanaziba pua kama kapita demu maisha hayo yalikuwa ujanani aisee.Naomba kujuzwa perfume hio inayoweza kukaa katika nguo hata miezi au mwaka haitoki mm ni mvivu kununua mara kwa mara
perfume ambayo ukipakaa anaisikia wa pembeni tu