The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
usiseme mbebs super mbebs
Kumbee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiseme mbebs super mbebs
Wewe ndo mbebs wa Smile siku hizi? lol
usiseme mbebs super mbebs
Bossman utafanya watu waanze umbea humu....oohoooo....
zinauzwa kwa mafungu kariakoo sasa mtu ananunua fungu lake lina mixture kama 20 halafu anajilipua yote ,huo mlipuko sasa? khaa acha tuYa bei gani? Umenunua kwenye mataa au Kariakoo? Perfume ya ukweli ni bei kubwa si chini ya TZS 150,000 na hata upulizieje haikeri. Zinazochefua mpaka majini yanapanda ni za mchakachuo, wana weka label za perfume kubwa kumbe gumashi
nani kazidiwa ?Anashindwa jizuia mwenzio...kazidiwa si unamuona? lol
halafu unakuta ni mwanaume,
wanaume wengine wanajifukiza na udi jamani..loh kizazi hiki cha dot com ...mmmh
kuweni simple kama my sweet baby!
Afu vingi vyenye harufu kali sana ni vile vya buku buku lol.
Hahahahaaaaaaaaa!!!!Shazoea kupitia kama mgeni bt uvumilivu umenishinda kwa hili.
Dah!!! Wale wakumix bwana ndo wananichosha mimi totally. Mtu mmoja anatumia spray 5 tofauti nakila moja anaspray mpaka nguo iloe, sasa subiri amalize icho kitu kilichotengenezwa hapo?!!! Usiombe ukawa unaishi nae nyumba moja au mnashare ofisi!!!! Hapo usisahau cream za uso, body lotion na hand lotion kila moja na harufu yake!!-
Kwa kilichoundwa apo sisiti kufungua madirisha na mlango kuuacha wazi.