kwa hiyo hata smoking in public unaona ni sawa tu just bcoz uko huru? hujui kuwa mapafyum makali yana madhara kwa watu wengine?...LIVE AND LET OTHERS LIVEqueeny kwa hiyo ulitaka mtu ajipulize perfume halafu ajifungie chumbani? Acheni hizo wapeni watu uhuru wao as long as havunji sheria na haki za binadamu.Dunia ni ya wote
Like like like!!!
Tihi tihi tihihii. Wenzako hiyo harufu ya Beberu wenzio ndo raha yao...Hivi umewahi kwenda nyumbani kwa wahindi au maeneo ya posta na kukutana na ile harufu yao? Lakn si ndo utamaduni wao??Utawakataza wakati wenyewe wanasikia raahaa kumoyo?Si lazima kujipulizia perfume, unaweza kuogea sabuni kama Protex Herbal inatosha au sabuni nyingine inaitwa Breeze. cha msingi utakiwi kunuka kama beberu.
Sasa unachanganya habari.Kuna sheria ya kukataza kuvuta sigara public hasa kimataifa katika mambo ya haki za binadamu japo hapa bongo haifuatiliwi.Lakn perfum public sijawahi sikia...kwa hiyo hata smoking in public unaona ni sawa tu just bcoz uko huru? hujui kuwa mapafyum makali yana madhara kwa watu wengine?...LIVE AND LET OTHERS LIVE
it doest matter ya maiti ama la, just be moderate in anything u do..
Sasa unachanganya habari.Kuna sheria ya kukataza kuvuta sigara public hasa kimataifa katika mambo ya haki za binadamu japo hapa bongo haifuatiliwi.Lakn perfum public sijawahi sikia...
Mie nimekujibu kutokana na points zako na sasa unageuka..Kila mtu hapa ni selfish hata wewe ndo maana unalazimisha watu wawe kama wewe wakati ni ngumu.Yawezekana mwenzio kapaka udi mkali na yeye ni dawa inamtibu. Kutofautiana is natural my dear utake usitake we will never be the same.Na sio kwa kuwa mwenzio hataki unavotaka basi ndo umuite mshamba au wakuja..Big NO.its not about the law but public morality...wewe unajipulizia wenzio wanapata madhara unasema sheria haijakataza uko huru. is that fair? kwani ukijipuliza kiasi na wengine wakaishi kwa amani kuna ubaya? otherwise that would be selfishness.
Mie nimekujibu kutokana na points zako na sasa unageuka..Kila mtu hapa ni selfish hata wewe ndo maana unalazimisha watu wawe kama wewe wakati ni ngumu.Yawezekana mwenzio kapaka udi mkali na yeye ni dawa inamtibu. Kutofautiana is natural my dear utake usitake we will never be the same.Na sio kwa kuwa mwenzio hataki unavotaka basi ndo umuite mshamba au wakuja..Big NO.
Then, how moderate is moderate to every people?
Ujinga kwenda sikuzote, ukishamuelekeza mtu siku ya pili hatorudia
Ili la kulaumiana na kuitana washamba, limbukeni sio mpango....
hivi utakutana na mtu kwenye daladala uanze kumpa lecture ya perfume? wengine ni wakubwa wetu wa kazi. ndo maana kuna JF watu tunajifunza kimya kimya
habari wana JF
kuna jambo huwa linanitatiza. unakuta mtu anajipulizia perfume kali kupitiliza, akiingia ofisini watu mnaanza kupiga chafya. akiingia kwenye daladala, basi ukishuka tayari una mafua, akipita coridoni lazima aache alama siku nzima.
hivi kweli huu ni ustaarabu? hivi kila mtu akipuliza perfume hivyo kutakalika kweli?
watu tujirekebishe.
what is good for u may not be good for everyone.
Good day.......
Unajua unajichanganya sana..sasa kama huyu unayemsema wewe kwenye daladala atakuwa anakukera wewe tu?..Kama kweli anakera basi watu walio karibu yake ukute anawakera na ni lazima watamwambia tu..vinginevyo haramu kwako halali kwa mwingine...Mtu yeyote yule anao ndugu zake wa karibu na majirani zake..Haiwezekani eti mtu apake perfume mwezi mzima afu mkerwaji uwe peke yako tu?..Mimi nikipaka kitu au nikivaa hovyo wala sifiki mbali... kuanzia ndugu zangu home hadi makazini watakuwa washaniambia...Ndiyo maana Zion Daughter anakuambia tukubali tu kuvumiliana our differences..kwa sababu we'll never like or feel the same taste at a time....
Zitakuwa za bei rahisi hizo... kuna ile imechorwa mwanamke amejitanda ushungi, boksi lake ni la purple ni balaa...house gril wangu alikuwa anatatumia, nilishindwa kuvumilia, ikabidi nimnunulie body spray atumie ili aachane na ile perfume.
Mi napenda perfume inayokaa muda mrefu, ila sio inayonukia mpaka kero ila nahisi watu wengine sense zao za ku-smell hazifanyi kazi vizuri, maana ananukia mpaka ananuka!!
Kwahiyo hata kujamba ushuzi kwenye Public unataka kutungiwe sheria ya kuban? mbona unaleta ligi isyokuwa na mpango?Sasa unachanganya habari.Kuna sheria ya kukataza kuvuta sigara public hasa kimataifa katika mambo ya haki za binadamu japo hapa bongo haifuatiliwi.Lakn perfum public sijawahi sikia...
Kwahiyo hata kujamba ushuzi kwenye Public unataka kutungiwe sheria ya kuban? mbona unaleta ligi isyokuwa na mpango?