Perfume kali kupitiliza ni utanashati au ulimbukeni?

kupaka perfume ni kutokujiamini harufu ya mwili wako.unahisi unanukia kama nguruwe? be natural !!!!!!!
 
Kama ww huna hela zakununua perfume usitie ila kwa wenye uwezo! Ww chako cha kufanya ni kuvuta harufu tu na kukaa kimya kama paka!
 
wewe nawe ni wale wale...tatizo ni mnunuaji sio mtengenezaji. kwa kuwa sumu zinauzwa utaenda kununua unywe? na je utamshtaki mtengeneza sumu?

Kama tatizo ni mnunuaji kwa nini TFDA wanakimbizana na wauzaji?
 

Inaitwa KULTHUM mkuu....
 

Nadhani anakuwa amejipulizia kupitiliza kiwango, hakuna perfume kali kiwango cha kukufanya ulete malalamishi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…