INAUZWA Perfume nzuri kwa bei ya kawaida

Ijumaa nyingine tena ya manukato fresh ..nukia vizuri leo na Asheer perfume yenye harufu nzuri isiyo boa wala kukera na yenye kukaa kwa muda mrefu kwa 35,000tsh tu

Tupigie 0744551655 au fika dukani kwetu magomeni mikumi kuona bidhaa zetu mbalimbali.

 
Wale wapenzi wa kijifukiza kwa udi..njoeni mchukue vyetezo vya umeme kwa 38,000tsh .Tupigie 0744551655 au fika dukani kwetu magomeni mikumi kwa maelezo zaidi.






 
Mkuu mi mhenga ninatafuta perfume hii Gift of Zanzibar je unayo?
 
Karibu uchague perfume kali uweze nogesha weekend yako [emoji2] kwa 30,000tsh .

Tupigie 0744551655 au fika magomeni mikumi uchangue uipendayo.

NB;Unaruhusiwa kuja kujipulizia perfume unayopenda na kuondoka bila kununua [emoji2][emoji23]...


Karibuni saana.







 
nimenunua hii jana kwa ushauri wa muuzaji ila hainukii kabisa naona nimepoteza pesa zangu
ipi perfume nzur ya brand hii?
jina lake ni invitus
 
nimenunua hii jana kwa ushauri wa muuzaji ila hainukii kabisa naona nimepoteza pesa zangu
ipi perfume nzur ya brand hii?
jina lake ni invitusView attachment 2139080

Hainukii kabisa yaani haina harufu.? Au harufu yake hujaipenda.??

Unapenda perfume zenye harufu kalii au zilizopoa.?
 
Aisee..nimeona jambo langu hapo..Ragba..aa achaa tu
 
nimenunua hii jana kwa ushauri wa muuzaji ila hainukii kabisa naona nimepoteza pesa zangu
ipi perfume nzur ya brand hii?
jina lake ni invitusView attachment 2139080

Invictus ni moja ya matoleo ya Paco Rabanne, original ya hii huwa najua ina matoleo matatu Invictus ambayo ni EDT (harufu iliyopoa), Invictus Legend ambayo EDP (harufu kali) na Invictus Victory ambayo ni EEDP (harufu kali kupitiliza)

Kwa bongo utaishia kupata Invictus EDP na bei zake ni around 280k hadi 320k hapo inategemea na muuzaji...

Kama unapenda uturi wa harufu kali kuna vitu kama Baccarat Rouge 540, Profondo, Creed Aventus, Savage Dior, Noir Extreme...kama una kisu jaribu hizo, pia kuna wauza uturi huwa wana copy zake
 
Mkuu hiyo Maahir ukipata black edition yake niambie haraka
 
Mkuu nitapata De Rouge? Kama ipo Bei yake tafadhari
 
Random selection [emoji2]

Zote nzuri na zote ni unisex bei ni kati ya 28,000tsh -45,000tsh fanya kuchangu your favorite na utupigie 0744551655 au fika magomeni mikumi kuona perfume zetu mbali mbali.

nb; unaruhusiwa kuja dukani kujipurizia perfume unayopenda pasi na kununua na kuendelea na mambo yako [emoji2][emoji1787].

Karibuni saana





 
Siku nyingine tena ya kunukia vizuri na MANUKATO poa kutoka dukani kwetu ..Tupigie 0744551655 au fika magomeni mikumi uchague utakayo penda kwa bei ya 28,000tsh mpaka 75,000tsh.





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…