PERIPHERAL NEUROPATHY inazima ndoto zangu....msaada.

ze jackal

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2013
Posts
528
Reaction score
174
Kwenu wanajamvi;

Nimekuwa nasumbuliwa na PERIPHERAL NEUROPATHY na huu ni mwaka sasa toka nianze kutumia dawa aina ya NEUROTON pamoja na PHYSIOTHERAPY(mazoezi) pale BUGANDO M.C

Nashukuru Mungu kwa sasa nimeimprove kwa kiwango Fulani lkn katika kuperuz mtandaoni nimekutana na dawa ambazo zinasemwa kuwa ni bora zaidi kuliko hii ninayotumia yaani zina vitamin B1 ambayo iko in form of benfotiamine ambayo iko absorbed easily mwilini tofauti na thiamine nitumiayo sasa ambayo asilimia kubwa huwa urinated.
Bahati mbaya hizi dawa nimezisaka hapa Mwanza kwenye pharmacies bila mafanikio,hivyo basi kama Kuna mtu anaweza nisaidia mahali nitazipata pamoja na gharamu zake ntashukuru Sana.

Dawa zenyewe ni;
1-NEUROPATHY SUPPORT FORMULA au nyingine ni
2-NEUROPLENISH.

Nawasilisha waungwana.
 
Kuna product moja ina itwa b12 plus, ina vitamins b1-b12 ni nzuri sana kwa tatizo lako, inapatikana pia mwanza! Ntafute 0752720276
 

chanzo cga neuropathy hiyo ni nini? kisukarii? Hypertensions? nutritional au ule ugonjwa mwingne
 
tuambie maana kola aina ina approach yake
 
chanzo cga neuropathy hiyo ni nini? kisukarii? Hypertensions? nutritional au ule ugonjwa mwingne

Chanzo Ni Nutritional deficiency Tu.cna diabetes wala ngoma.
 
tuambie maana kola aina ina approach yake

Tatizo halitokani na sukari wala siko na hisa TANESCO na situmii sigara wala pombe nilichoambiwa Ni upungufu WA vitamins Tu.
 
Does it mean that access ya cocaine na heroin imekuwa rahisi zaidi kuliko dawa za kutibu magonjwa ya binadamu.
mambo ya soko huria na tabu zake.
 
Kuna product moja ina itwa b12 plus, ina vitamins b1-b12 ni nzuri sana kwa tatizo lako, inapatikana pia mwanza! Ntafute 0752720276

Hata nitumiayo(Neuroton) pia Ina B1-B12 na ni nzuri tu ndo maana hali inaendelea vizuri issue ni kwamba Je B1 ya hiyo dawa uloitaja iko in which form(thiamine au benfotiamine)?
Anyway thanks kwa ushirikiano Wako.
 
Hata nitumiayo(Neuroton) pia Ina B1-B12 na ni nzuri tu ndo maana hali inaendelea vizuri issue ni kwamba Je B1 ya hiyo dawa uloitaja iko in which form(thiamine au benfotiamine)?
Anyway thanks kwa ushirikiano Wako.
Mkuu hata kama utapata hii BENEXOL ® B12 - Thiamine pia nzuri kwa matatizo yako hayo.


 
[TABLE="width: 875, align: center"]
[TR]
[TH]BENEXOL B12 Film-Coated Tablets[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]
BAYER

Active Ingredient (s):
Vitamin B1 (Thiamin) 250 mg, Vitamin B6 (pyridoxine) 250 mg, Vitamin B12 (Cyanocobalamin) 1 mg

Market Shapes:
[TABLE="width: 559"]
[TR]
[TH]
In glass bottles containing 50 film-coated tablets.
[/TH]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


How to use:
Prophylaxis: Day 1 film-coated tablet. Treatment: 2-4 film-coated tablets per day. Symptoms abated, the dose can be reduced.



Indications:
Pregnancy, lactation, excessive physical activity, inadequate or improper diet, fasting, gastrointestinal disease or surgery, hyperthyroidism, diabetes, uremia, liver dysfunction, chronic alcoholism , constant vomiting, heart failure, old age, INH, pyrazinamide, hydralazine, cycloserine, penicillamine , aminoglycoside antibiotics, anticonvulsants, and long-term use of contraceptives as a result of vitamins B1, B6 and B12 insufficiency used. Mind and body fatigue, forgetfulness, irritability, loss of appetite, weakness, arms and legs, pain and paresthesias, tremor, palpitations, epigastric discomfort, constipation, general preclinical complaints for patients with beriberi, Wernicke-Korsakoff syndrome and Delirium tremens in; alcoholic and diabetic neuropathies, neuritis, polyneuritis, neuralgia, shingles, myalgia, arthralgia , muscle cramps, tremors, and in recurrent vomiting is enedik.

Contraindications:
One of the common ingredients in the composition to be used in extreme accuracy.

Warnings:
This lack of vitamins that are risk factors that may cause and / or due to deficiencies in general be given immediately to patients showing signs of serious and sometimes disabling sequela with the emergence of clinical syndromes can be prevented. Above the recommended dosage and long term use, may result in hypervitaminosis B6. Vitamin B6 antagonist is levodopa-treated Parkinson's disease patients levodopa alone should not be used. Full undiagnosed anemia in patients with polycythemia vera, vitamin B12 and folate deficiency megaloblastic anemia which may mask.Hereditary optic nerve atrophy (Leber's disease) will be accelerated atrophy in patients with vitamin B12. The use of high-dose pyridoxine during pregnancy seen in the new-born "Pyridoxine dependency" is thought to have a role in epileptic seizures should be careful, and these babies should be remembered that seizures are treated by administering pyridoxine.

Side Effects:
In rare cases, allergic hypersensitivity reactions have been reported.

Drug Interactions:
Higher than 5 mg daily dose of vitamin B6, concomitant therapeutic effect eliminates levodopa. If used in combination with levodopa, carbidopa, it will not interact. Used for one month at 200 mg vitamin B6, phenobarbital and phenytoin decrease the serum concentration of 50%. Vitamin B12 absorption, oral administration of aminoglycoside antibiotics, colchicine, extended-release potassium, amino salicylic acid, and ascorbic acid are reduced with anticonvulsants. Supplied with chloramphenicol may antagonize vitamin B12 hematopoietic response.Vitamins B1 and B6, urine urobilinogen with Erlich reagent and vitamin B1 fosfotungstat test method for the determination of uric acid in the urine gives a false positive response.cc.@
ze jackal
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Shukrani mkuu nimekupata vilivyo.
 
Mkuu hata kama utapata hii BENEXOL ® B12 - Thiamine pia nzuri kwa matatizo yako hayo.



Pamoja Sana mkuu ntaitumia PIA baada ya kumaliza hii nitumiayo.Hivi kunatofauti yoyote kiutendaji Kati ya Vit B1(benfontiamine) na B1(thiamine) au niurahisi WA kuwa absorbed mwilini Tu?
 
Pole mkuu ....ngoja nikuulizie duka la dawa afu nitakupa jibu soon la bei zake
 
Pamoja Sana mkuu ntaitumia PIA baada ya kumaliza hii nitumiayo.Hivi kunatofauti yoyote kiutendaji Kati ya Vit B1(benfontiamine) na B1(thiamine) au niurahisi WA kuwa absorbed mwilini Tu?

Benfotiamine

Benfotiamine is absorbed much better than water soluble thiamine salts. Maximum plasma


levels of thiamine are about 5-fold higher after benfotiamine intake and the bioavailability is


about 3.6 times as high as that of thiamine hydrochloride and better than that of other

lipophilic thiamine derivatives. The increase in relative bioavailability is most significant in

muscle (5-fold greater incorporation) and brain (25-fold increase), but thiamine from

benfotiamine is also 10-40% better incorporated in other organs, such as liver and

kidney. The Panel concludes that the bioavailability of thiamine from benfotiamine is higher than thatfrom other sources.


For benfotiamine several human clinical studies at dose levels from 40 up to 400 mg/day for


several (3-12) weeks do not report adverse effects, except for one study conducting an open


trial at a dose level of 40 mg benfotiamine (dosed together with 90 mg pyridoxine


hydrochloride and 250 μg cyanocobalamin for 12 weeks) and reporting nausea, dizziness,


stomach ache and weight gain at the twelfth week of the study in 8.4% of the patients.

Benfotiamine is converted to thiamine, but given the facts that:
• benfotiamine is not endogenous in humans,
• the bioavailability of thiamine from benfotiamine is higher than that of other
sources of thiamine,
• benfotiamine in its dephosphorylated form is absorbed and bioavailable,
• no toxicological studies have been provided for benfotiamine to evaluate
reproductive and developmental toxicity, genotoxicity or long term toxicity of
benfotiamine, and
• the animal and clinical studies referred to, which were without adverse effects,
were not designed to study possible adverse effects of benfotiamine,
the Panel concludes that the submitted data are insufficient to demonstrate the safety of the proposed use and use levels of benfotiamine. Mkuu Benfotiamine nzuri zaidi ya thiamine.
 

Asante Sana mkuu,
Nathamini Sana huu mchango Wako.
Itabidi niitafute Tu....
Dah..you behave candle like,simply melting to light others way.Stay blessed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…