ze jackal
JF-Expert Member
- Nov 13, 2013
- 528
- 174
Kwenu wanajamvi;
Nimekuwa nasumbuliwa na PERIPHERAL NEUROPATHY na huu ni mwaka sasa toka nianze kutumia dawa aina ya NEUROTON pamoja na PHYSIOTHERAPY(mazoezi) pale BUGANDO M.C
Nashukuru Mungu kwa sasa nimeimprove kwa kiwango Fulani lkn katika kuperuz mtandaoni nimekutana na dawa ambazo zinasemwa kuwa ni bora zaidi kuliko hii ninayotumia yaani zina vitamin B1 ambayo iko in form of benfotiamine ambayo iko absorbed easily mwilini tofauti na thiamine nitumiayo sasa ambayo asilimia kubwa huwa urinated.
Bahati mbaya hizi dawa nimezisaka hapa Mwanza kwenye pharmacies bila mafanikio,hivyo basi kama Kuna mtu anaweza nisaidia mahali nitazipata pamoja na gharamu zake ntashukuru Sana.
Dawa zenyewe ni;
1-NEUROPATHY SUPPORT FORMULA au nyingine ni
2-NEUROPLENISH.
Nawasilisha waungwana.