Neyahoo
Member
- Sep 7, 2019
- 81
- 92
Perpetual motion machine; can we create one
Katika pitapita zangu kwenye vitabu namekutana na hiki kitu perpetual motion, ambacho wanadai mpaka saiv ni theoritical Yan haiwezekan practically coz inaviolet some laws of physics. But nkajiuliza are there already laws which are set for everything on Earth regardless bado Kuna vitu bingo hatujagundua bado. Laws of nature are there tu be manipulated right?
So in this theory of making a perpartuation machine hamna ambaye alishajaribu coz I believe that most of the invention are trial and error untill succeed
Energy is constant in closed system as we claim from laws of conversation of physics Sasa nikiangalia naturally Kuna vitu vina move in perpetual/ infinity motion in our universe example motion of stars and other heavenly bodies zibatumia energy zipi? Hatuwezi kucopy their mode of action and principles tukatengeneza mfano wa machine zinazotumia the same principles?
Labda tunaweza kusema zenyewe zinatumia natural forces like gravitation and solar energy, so what? We can access them too kwa sababu na sisi ni part of universe
Ivi ni kwamba hivi vitu haviwezekani au binadamu tumeamua kujiwekea limit wenyewe? Au kuna kundi la watu wanazuia better invention for the sake of their business or status, or something ?
By the way perpetual motion by defn kwa nilivoelewa ni mfano wa machine ambayo ikishawashwa inajiperate yenyewe no further input of energy is needed to make it work. Am not a physist though, it's just curiosity na kuimagine things.
For me naona km hii technology ingekuwepo ingerahisisha Manisha sana hapa duniani, most of the machine zisingehitaji umeme Sana labda kuinitiate tu and things goesss smooooth as you like cost ya umeme pia ingepungua coz tungetumua natural occuring energies
Sasa naomba wadau maphysists and mathematician wake hapa tu enlighten me or prove me wrong, NOTE: my purpose is only to learn from others and gain knowledge
🙏🙏🙏