Perry is back.

Perry is back.

Status
Not open for further replies.
kazi aitoe wapi huyu 'mbebez' ni mbeba 'kibuku' pale ubungo!!..hapo kaadhima simu ya boss wake ndo anatapika saivi!!...mijitu ya bara la giza banah ni shida sana!

hyo ni kweli kabisa mkuu,huyu angekua ni mtu mwenye kazi ya maana asingepoteza muda wake humu kupigizana kelele na vijana wadogo kama sisi.
 
Naomba mtambue uwepo wangu hapa jukwaani..kwa sasa nimejirekebisha kiasi baada ya kuchezea supp za kutosha katika last semister exams.so kipindi hki ntakua mpole kwa kiasi flani.naomba ushirikiano wenu.

sidhani kama umepata hizo suppy za ud? anyway bado hujabadilika jiandae kwa sup za next semister ujayo.hivi field uliomba wap vile
 
Wewe unafanya nini hapa...??

me cna kazi bado nasoma,na hapa ni muda wangu wa kupumzka,nyie majitu mazima na familia zenu kutwa mnashinda humu kugombana na watoto.
 
sidhani kama umepata hizo suppy za ud? anyway bado hujabadilika jiandae kwa sup za next semister ujayo.hivi field uliomba wap vile

na we hauna kazi za kufanya huko uliko au,maana ni muda wa kazi huu?
 
kazi aitoe wapi huyu 'mbebez' ni mbeba 'kibuku' pale ubungo!!..hapo kaadhima simu ya boss wake ndo anatapika saivi!!...mijitu ya bara la giza banah ni shida sana!

Ontogen recapitulates phylogen
 
Naomba mtambue uwepo wangu hapa jukwaani..kwa sasa nimejirekebisha kiasi baada ya kuchezea supp za kutosha katika last semister exams.so kipindi hki ntakua mpole kwa kiasi flani.naomba ushirikiano wenu.

Karibu mdogo Wangu perry nilikumiss sana japo uliniudhi lakini nimekusamehe coz nakumbuka safari yako ya jela ilianzia kwangu pole sana tuanze maisha mapya na ahsante kwa kubadilika senator001...

karibu tena....
 
hyo ni kweli kabisa mkuu,huyu angekua ni mtu mwenye kazi ya maana asingepoteza muda wake humu kupigizana kelele na vijana wadogo kama sisi.

Hivi nyie vichaa mnatokea wapi hapa Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom