Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
mimi adui wangu mkubwa ni huyo mdudu anaejiita lusungo,yani na me namtafutia pozi tu nimnase nae apewe ban ya maisha.
Saivi mda wa beer wewe unadhani kote ni mchana
kazi aitoe wapi huyu 'mbebez' ni mbeba 'kibuku' pale ubungo!!..hapo kaadhima simu ya boss wake ndo anatapika saivi!!...mijitu ya bara la giza banah ni shida sana!
mkuu,hvi huna kazi ya kufanya huko uliko,maana huu ni muda wa kazi?
Naomba mtambue uwepo wangu hapa jukwaani..kwa sasa nimejirekebisha kiasi baada ya kuchezea supp za kutosha katika last semister exams.so kipindi hki ntakua mpole kwa kiasi flani.naomba ushirikiano wenu.
Wewe unafanya nini hapa...??
sidhani kama umepata hizo suppy za ud? anyway bado hujabadilika jiandae kwa sup za next semister ujayo.hivi field uliomba wap vile
we utakua juha square.
kazi aitoe wapi huyu 'mbebez' ni mbeba 'kibuku' pale ubungo!!..hapo kaadhima simu ya boss wake ndo anatapika saivi!!...mijitu ya bara la giza banah ni shida sana!
me cna kazi bado nasoma,na hapa ni muda wangu wa kupumzka,nyie majitu mazima na familia zenu kutwa mnashinda humu kugombana na watoto.
Naomba mtambue uwepo wangu hapa jukwaani..kwa sasa nimejirekebisha kiasi baada ya kuchezea supp za kutosha katika last semister exams.so kipindi hki ntakua mpole kwa kiasi flani.naomba ushirikiano wenu.
we 'mbebez' nasikia umewekwa kimada pale mwembe yanga!
hyo ni kweli kabisa mkuu,huyu angekua ni mtu mwenye kazi ya maana asingepoteza muda wake humu kupigizana kelele na vijana wadogo kama sisi.