Personal Brand Image ni aina nyingine mpya ya utumwa

Personal Brand Image ni aina nyingine mpya ya utumwa

Cvez

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
4,405
Reaction score
13,411
Personal Brand Image ni aina nyingine mpya ya utumwa. Watu wanajali sana jinsi gani wataonekana kuliko nini wanafikiria na nini ni msimamo wao. Huu ni utumwa mpya uliopewa jina zuri.

As long huvunji sheria za nchi wala kudhalilisha mtu Personal Brand Image ni ulemavu wa fikra. Ukiishi kwa kutaka kuridhisha kundi fulani la watu hata kama wanatoa mawazo mgando utaona woga kuongea ukweli au nini akili yako inafikiria kwa sababu ya kulinda Brand Image yako. Nimeona watu wengi sana wapo smart kichwani wakijenga hoja zao zipo strong ila once mtu fulani akiongea au hoja fulani imetokea hata kama ni ya kijinga na wao wanakua wajinga maradufu.

Nadhani hii ndio sababu watu wengi sana maaraufu wanapesa na mafanikio lakini hawana furaha. Midomo yao na akili zao zipo closed katika kile wanachokiita Brand.​
 
Back
Top Bottom