Personal branding 101

Personal branding 101

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Miaka takribani 25 iliyopita nikiwa kijana mdogo sana nilibahatika kuwa kiongozi wa watoto wenzangu.Haukuwa uongozi mkubwa kwani ilikuwa ni kanisani na nilikuwa nasimamia zaidi ya vijana wadogo 100.Kwa kweli sikuwa na mafunzo wala uzoefu wowote ule wa kiongozi na umbo na umri wangu ulikuwa ni mdogo sana.Pamoja na udogo wangu nilikuwa na namna yangu ya maisha na mtindo wangu wa maisha ambao wengi wakubwa na wadogo waliuelewa.

Moja kati sifa ya kipekee ulikuwa na uwezo wangu wa kung'amua na kuelewa mambo kwa wepesi,uwezo wangu wa kujieleza binafsi,uwezo wangu wa kuhamasisha wengine na kuwatia moyo,uwezo wangu wa kushawishi.Ndio nilikuwa kijana mdogo ambaye nilikuwa na positive influence kwa wenzangu.NIlikuwa mtukutu kama ambavyo watoto wengine ila utukutu wangu ulikuwa tofauti.Nilikuwa nasoma na wakati huo huo nafundisha.Niliwafundisha wenzangu ambao walikuwa nyuma na hata nilipokuwa shuleni nilifundisha vipindi vya dini.Nilipokuwa kanisani nilikuwa makini kujifunza na kuuliza maswali kwa umakini.Wakati mwingine nilipewa majukumu mbalimbali ikiwamo kutoa neno katika matukio mbalimbali.

Kulipokuwa na ugeni kanisani au shuleni niliteuliwa kuwakilisha watoto wenzangu kutoa neno la shukrani au salamu.

Pamoja na hayo yote,watu wote walionifahamu hawakufahamu nyumbani kwetu,hawakuwafahamu wazazi wangu wala hawakuwafahamu ndugu zangu wowote wale,Walinifahamu mimi tu na walinikubali na kuniamini kwa uwezo wangu ule bila kujali mimi ni nani wa nani na mwenye nini.

Sikujua kipindi kile kwamb yale yalikuwa ni matokeo ya kitu kikubwa sana nilikuwa nakifanya ambacho kwa sasa kinaitwa PERSONAL BRANDING.Nilikuwa nimetengeneza personal Brand yangu katika utoto wangu ambayo iliheshimiwa na wakubwa na wadogo bila kujali umri wao.Nilikuwa mtoto niliyependwa na kuthaminiwa.Nilihamasisha wakubwa na wadogo na kuwafanya wengine watamani utoto.Nilikuwa na marafiki wengi sana ingawa wengine hawakuwa marafiki bali watu wanaokaa karibu na uwaridi ili wanukie.Sasa najua kwamba ni kawaida.Hio.Katika udogo wangu nilitengeneza PERSONAL BRAND AMBAYO MPAKA SASA KUNA WATU wananilinganisha jinsi nilivokuwa kipindi kile na sasa.According to them ningeendelea VILE ningekuwa mbali sana kwani nilikuwa nimejenga BRAND kubwa sana katika utoto wangu.

Wengi wanashangaa imekuwajie nimeharibu BRAND YANGU YA UTOTONI?Any way watu wanabadilika na mimi ni mtu na kubadilika ni kawaida inagwa binafsi ni mtu yule yule.Kilichobadilika ni kwamba sasa hivi sijawekeza katika kujenga PERSONAL BRAND yangu katika namna ile niliyofanya kipindi kile.

Wengi wetu hatujui kwamba tuna labels mbali mbali ambazo zinawakilisha BRAND ZETU.kama ambavyo ukiona logo ya Fanta kwenye Chupa ya Bia utashtuka ndivyo ambavyo kuna watu ukiwaona katika mazingira flani utashtuka.Kwa Mfano juzi kati nilikuwa mahali nashusha mzigo wa JD na akatokea bwana mdogo ambay alinifahamu enzi nilipokuwa mtoto nikiwa na brand hio hapo juu.Baada ya kusalimiana na yeye kujieleza ni nani ananifahamuje na kunikumbusha mambo mazuri niliyomfundisha na kumhamasisha akatoa la moyoni akisema 'Dah Bro Umebadilika sana,siku hizi unatumia vyombo ?I never expected that from you" Nikacheka na kumpigapiga mgongoni nikamwambia SIJABADILIKA.Mimi ni yule yule.Kilichobadilika ni BRAND IMAGE.Nikatumia quotes na maneno mazito ya hekima Kisha nikamwambia.People do not change,Its their Perceptions that Change'Watu hawabadiliki,ni Mitazamo yao hubadilika tu.

Ninachotaka kusema ni kwamba sote huwa tunajenga personal brands zetu kwa njia na namna mbalimbali kwa kuzingati mazingira na hali zetu.Mara nyingi tunakuwa wazuri au wabaya bila kujua imekuwaj tukawa hivo.

Jaribu kufikiria wakati nilipkuwa mtoto ningejua nguvu ya Personal Brand na nikatumia ile Strong Brand niliyokuwa nayo kujijenga katika jamii yangu na mazingira yangu.Au fikiri wale waliokuwa wananiziunguka wangekuwa na uelewa wa jinsi ya kusimamia Personal branding ni kisha katika udogo na unyonge wangu wakaniongoza vyema kuhakikisha Brand yangu inaendelea kuwepo ningekuwa wapi wakati huu.Ningekuwa nimetoa mchango gani katika jamii ile niliyoishi na katika familia,taifa na dunia.

Kwa kutokuelewa umuhimu na mbinu za personal brandind,nilijenga BRAND nzuri kwa wakati ule ambayo 25 years down the line kuna watu wananikumbuka na kukumbuka jinsi nilivokuwa.NIlimpeleka mtoto wangu katika shule niliyosoma akasome,Mwalimu mmoja ambaye alinifahamu akasema,Huyu atakuwa kama Baba yake.Mwanagu akawa inspired from my little childhood history.Kwa sasa I am just a simple farmer,growing vgetables and beans in my backyard ila kwa watu walionifahamu utotoni I had a strong brand.

Vipaji vingi sana vimepotea kwa sababu ya wazazi,walezi na wanajamii kukosa njia au mbinu bora za kufanya Personal Brand Management.Wanaishia kuadmire bila kuchukua hatua kuhakikisha kipaji kinaendelea kukua na kudumu.Wanasahu kwamba unapokuza kipaji unatunza hazina ya taifa kwa baadaye.Ndio.Personal Branding Management/Talent Management ni Muhimu sana.Watu wanahitaji kuwa coached,mentored,guided and motivated ili waweze kuendelea kuwa watu bora.Tatizo ni kutokujua au kutokujali.

Baada ya utangulizi huu sasa nieleze kwa ufupi mbinu za kujenga PERSONAL BRAND yako madhubuti.Hii sio kwa kubahatisha kama mimi hapo juu hapana,hii unafanya ukiwe na lengo mahususi.

Hatua ya kwanza ni Define Your BRAND.Katika hatua hii uataeleza malengo yako na maono yako na mambo unayohitaji ili ufikie hayo maono na malengo yako.Baada ya hapo anza kujifanyia SWOT analysis ili utambue ni nini unacho na nini unakosa katika kuhakikisha kwamba unafikia malengo yako uliojiwekea.

PERSONAL SWOT ANALYSIS ina maumivu sana.Kwani ni kitu ambacho kinakufanya ujitazame kwenye kioo cha ukweli,Ujiweke uchi,ujihukumu,na ubebe msalaba wako.Usisingizie mtu au kitu ukubali kwamba IT IS YOU and YOU only.Ni Process ambayo ni vyema ukaifanya kwa kusaidiwa na mtu ambaye anaweza kukuchallenge bila kukufanya ujichukie kwani kuna mambao ambayo yanaumiza na kujeruhi.

IWAPA UNGEPENDA KUFANYIWA PERSONAL SWOT ANALYSIS-Unaweza kuwasiliana nasi kwa email:masokotz@yahoo.com

Baada ya kufanya SWOT analysis hatua inayofuata ni BRAND COMMUNICATION hii ni hatua muhimu sana kwa ni wakati wa kuipeleka BRAND yako kwa watu.Inahitaji uwe na self affirmations,Uwe tayari kurudia kufanya PERSONAL SWOT ANALYSIS na UWE TAYARI ku REDEFINE YOUR GOALS AND VISION kwa kuzingatia matoke utayopata wakati wa BRAND COMMUNICATION.

Kumbuka unapofanya SELF BRANDING CONSISTENCY is the KEY

Karibu ufanyiwe PERSONAL SWOT ANALYSIS ili uweze kuanza safari ya KUJENGA PERSONAL BRAND.

PERSONAL BRANDING Itakusaidia katika kutafuta ajira,kutafuta mke au mume bora,kutafuta wateja katika biashara yako,kutafuta wabia na wawekezaji,kutafuta promotion na hata kutafuta Amani ya MOYO wako.Usichukulie POA unapoona watu ambao wana mafanikio makubwa lakini bado wanadharaulika katika jamii,NI KWA SABABU YA MAKOSA KATIKA PERSONAL BRANDING.

WENGIN wanaandika CV zao lakini hawaitwi kwenye INTERVIEW kumbe sababu ni POOR PERSONAL BRANDING katika CV ZAO.Wengine wana akaunti katika mitandao ya kijamii lakini hawapati matokea wanayotaka kumbe ni kwa sababu ya POOR PERSONAL BRANDING KATIKA MITANDAO.Orodha ni ndefu sana.Kuna wasomi hawapandi vyeo kazini kwa sababu ya POOR PERSONAL BRANDING.Kuna wanawake hawapati waume kwa sababu hio hio na wanaume wanaokosa wake kwa sababu hio hio.

Chukua hatua sasa na UJENGE PERSONAL BRAND yako katika namna ambayo itakuwa na TIJA ili uweze kuwa mtu toafuti katika familia,jamii na taifa.Chukua hatua leo.

Tuwasiliane kwa ajili ya kufanyiwa PERSONAL SWOT ANALYSIS ili uanze safari yako ya kujenga PERSONAL BRAND.

Tuma email:masokotz@yahoo.com

Nakutakia kila la heri.
 
Asaaante sana kwa ujumbe
 
Back
Top Bottom