Mtafute Rodney Q. Kassala anaweza kuwa lawyer wako. Kwa kawaida ni kwamba malipo ya sheria si marahisi maana itabidi uwe unamlipa kitu kinaitwa Retention Fee kila mwezi hatakama hujatumia huduma yake pili kuhusu gharama pale utakapohitaji ushauri Wa kisheria na uaandaaji Wa nyaraka kadha Wa kadha..! La muhimu ni kuwa muda wote unauhakika Wa kupata huduma yake.