The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Napenda kufahamu process za kuwa na personal lawyer wako ni zipi kwa ambaye anajua naomba anisaidie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafute Rodney Q. Kassala anaweza kuwa lawyer wako. Kwa kawaida ni kwamba malipo ya sheria si marahisi maana itabidi uwe unamlipa kitu kinaitwa Retention Fee kila mwezi hatakama hujatumia huduma yake pili kuhusu gharama pale utakapohitaji ushauri Wa kisheria na uaandaaji Wa nyaraka kadha Wa kadha..! La muhimu ni kuwa muda wote unauhakika Wa kupata huduma yake.