Tpdf wanatumia hizi ambazo ni ambazo ni chapa ya Ak from RussiaView attachment 1062439
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hivi nyie mbuzi si ndio mlikimbia juzi juzi hapa mkamwacha yule SAS awaokolee raia wenu? Acheni maneno onesheni mfano kwa Al-Shabab hapo,kila siku wanwamwaga kinyesi mnakuja mitandaoni kuringisha mavazi. Kawauliza M23 TPDF ni nini?Tanzania utapata hawana dedicated airbases .walizo nazo ni ndogo hata haziwezi patikana kwenye Google Earth zingine zinatumika kama civilian airports Jambo ambalo hunishangaza Sana.Alafu utapata wakijilinganisha na Kenya .
You own those shit and Al-Shabab https://jamii.app/JFUserGuide you up everyday!
Stongest army is AL-Shabab.....you know what i mean.
Strongest army ambayo haijawahi kupigana hata vita moja! Hawa jamaa bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Counter terrorism gani tena mkuu??the evolution of the Kenyan army... tumetoka mbali sana, kuna wakati nusu ya privates walikua hawajui hata I.E.D inamaanisha nini, lakini nimeona jeshi letu liki improove sana... from intel gathering, search and rescue, rapid deployment, countrr terrorism, working with the community in enemy territory..counter IED....its good to be tested, ukikaa hivi unajidanganya uko poa siku jambo likitokea unagundua kumbe ulikua hauko prepaired,
Sio vita hawajawai kufanikisha operation yoyote wakiwa peke yao
Sent using my iPhone using jamiiforum app
AISEE HUU NI USHAMBA AU NI SHOW OFF? Night vision goggles in daylight????Sitaki kuamini kuwa jamaa kavaa NVG hizoView attachment 791295
Na alshabaab death toll iko +3,000 ndani ya mikoni mwa KDF!Counter terrorism gani tena mkuu??
Death tall ishafikia 500 people died na hao terrorist.
Alshabab watatu wanakaa ndani ya westgate kwa 3 hrs... Hakuna kitu mnafanya... Zaid zaidi mlifika mkapigana risasi wenyewe....
Hizi picha wont help..... Tunataka action to rescue your citizen.
Na sio kuwaua akina logo.. Tu.
Garissa.
Westgate.
Lamu.
Somalia.
N.k
Ujinga huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hana ni wa nchi gani, tena akiwa kwa live exerciseAISEE HUU NI USHAMBA AU NI SHOW OFF? Night vision goggles in daylight????
Muangalie mwanaume wa shoka anavyoitendea haki kalashinikov 47View attachment 1062259
one of our best shooters in that competition
Somalia mpo kwa ajiri ya kuuza mkaa that why magaidi wanaendelea kupenya na kwenda kuuwa raia wa Kenya ndani ya aridhi yaoI repeat strongest army in EA. Remember Americans were defeated in Somalia in what's known as Black Hawk Down. Kdf is the first army to capture Kismayu, Putland has a government because of KDF. For no more words, watch the compilation of KDF actions from Kenyan soil upto Kismayu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Those who kill people in Kenya are sleeper cell agents. Very difficult to deal with, they are the same people that bombed Paris last year and they are the same people that killed 43 people in Swaziland this year.Somalia mpo kwa ajiri ya kuuza mkaa that why magaidi wanaendelea kupenya na kwenda kuuwa raia wa Kenya ndani ya aridhi yao
So bila bila na magaidi wametoka Somalia up to kenya
Sent using my iPhone using jamiiforum app
They dont know what are sleeper cells.Those who kill people in Kenya are sleeper cell agents. Very difficult to deal with, they are the same people that bombed Paris last year and they are the same people that killed 43 people in Swaziland this year.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unajisifia adui kuingia hadi ndani kwako??? Intelligence yenu ilikuwa imesinzia??Na juzi pale dusit uliona vile alshabaab walivyofanywa??????
Hivi unajua tumewashika watanzania zaidi ya 200 kwa tuhumu za Ugaidihapa KEnya??? Moja wa wale walioshambulia Garissa University alikua ni Mtanzania Mbona hamkuwashika huko Tanzania kabla aje Kenya???Kwahiyo unajisifia adui kuingia hadi ndani kwako??? Intelligence yenu ilikuwa imesinzia??
Hamna lolote kelele nyingi vitendo zero,Kenya bado sanaHivi unajua tumewashika watanzania zaidi ya 200 kwa tuhumu za Ugaidihapa KEnya??? Moja wa wale walioshambulia Garissa University alikua ni Mtanzania Mbona hamkuwashika huko Tanzania kabla aje Kenya???
Kuna hawa wengine walio jaribu kushambulia kambi ya KDF kwenye mpaka wa Kenya na TZ, kulikua na watanzania Wawili pamoja na alshabaab wengine kutoka UK na US..... Mbona hamkuwashika hao watanzania kabla waje huku???
graphic pic, click to see