Perspective, KDF soldiers in pictures, advanced military in EA

Kumbe huwa mnawakamata watz kwa tuhuma na sio ugaidi

MI ya Kenya ni ya hovyo that why magaidi wanaweza mpaka kupenya na kufanya ugaidi ndani ya aridhi yenu
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Kumbe huwa mnawakamata watz kwa tuhuma na sio ugaidi

MI ya Kenya ni ya hovyo that why magaidi wanaweza mpaka kupenya na kufanya ugaidi ndani ya aridhi yenu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
You are innocent until proven guilty in a court of law!

Ndugu zako wengi sana wako jela za Kenya sababu Ugaidi,

Juzi juzi tu kuna wengine watatu waliongezeka

Three Tanzanians have been handed a 15-year jail term each after being charged with terrorism in Kenya.
The trio from Zanzibar, a semi-autonomous archipelago, were arrested last year in the border Wajir County, in northeastern Kenya attempting to cross into Somalia. They were found in possession of items used in terrorism acts.
Mbarouk Ali Adibu (34), Idarous Abdirahman (32) and Islahi Juma (22) appeared before Wajir Senior Resident Magistrate Amos Makoros for sentencing on Wednesday following convictions on Tuesday.
They will now serve their sentences at Wajir Prison.
 
Sio vita hawajawai kufanikisha operation yoyote wakiwa peke yao

Sent using my iPhone using jamiiforum app
vita gani jwtz imefanikisha peke yao...au operation gani pia wamefanikisha peje yao...leta list hapa nikuumbue...

na east africa hakuna nchi yeyote ile imeshawai fanya operation km ile ya dusit...
 
Mara ngapi France imefanyiwa ugaidi ndani kwake?

Huwa unaona action yao lkn

Sent using my iPhone using jamiiforum app
OK let's put it simple, the ISIS attacked their capital and non of them was captured, so which action are you talking about?

Sent using Jamii Forums mobile app

Tena usisahau France iko Europe , Haipakani na nchi yoyote ambayo ni hotbed ya Magaidi........ Budgeti ya Ulinzi ya france ni $35Billion, licha ya hivyo bado Ugaidi unapenya, huku Budgeti ya Kenya ikiwa $2Billion na tunapakana na nchi ambayo magaidi wanatokea.....

Comparizon nzuri itakua ni nchi kama Turkey ambayo pia inapakana na nchi ambayo wanapigana na magaidi....
 
Halafu pia hao magaidi wanafanana na wasomali wa Kenya so ni ngumu kuwatenganisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu vita ambazo jw wameshinda ni mpumbavu pekee ndio hazijui

Na kuhusu operation jw kafanikisha nyingi tu ndio maana nchi haina matukio ya ugaidi

Hakuna vita wala operation ambayo KDF wametusua mpaka ile linda nchi kdf walishindwa that why tunapata matukio kama ya hapo dusit
vita gani jwtz imefanikisha peke yao...au operation gani pia wamefanikisha peje yao...leta list hapa nikuumbue...

na east africa hakuna nchi yeyote ile imeshawai fanya operation km ile ya dusit...

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Kwanini mjiingize kwenye mapambano na magaidi aliyakuwa mpo karibu nao na bajeti yenu ni finyu?

Vip kuhusu bajeti ya rwanda lkn kaweza kuwadhibiti RNC na fdrl

RNC na fdrl ???????? kumbe hata naongea na mtu ambaye hajui tofauti ya aina za vita.... Jamaa unataka kulinganisha "freedom fighters" na jihad terrorists!!!! Duuh... Wacha yaishie hapo tu
 
RNC na fdrl ???????? kumbe hata naongea na mtu ambaye hajui tofauti ya aina za vita.... Jamaa unataka kulinganisha "freedom fighters" na jihad terrorists!!!! Duuh... Wacha yaishie hapo tu
Umeongerea bajeti na umbali that why nikakutolea mfano RNC

Kdf ni wahovyo mpaka wanapigwa kambi nzima pamoja ya kuwa na bajeti kubwa isiyowasaidia kitu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Umeongerea bajeti na umbali that why nikakutolea mfano RNC

Kdf ni wahovyo mpaka wanapigwa kambi nzima pamoja ya kuwa na bajeti kubwa isiyowasaidia kitu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
wewe kakojoe ulale... masaa ya watoto yamepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…