PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

ila nafurahi pes 2017 ndo game lao la mwisho jepesi likuwa na gb ndogo kama 3.4 tu kwa repark. Huku bado likiwa na graphics kali.

Ndo mana hata watu wa patch wanalipa ushirikiano sana.
Mkuu naomba link ya hii game
 
Wakuu kuna ishu moja ninaiface, nina fifa 14 nilidownload kupitia nosteam nimeinstall vizuri ikawa ina play fresh ( Nili install kwenye local C- GAMES - Fifa 14)

sasa nimejaribu kudownload fifa 14 Next Season Patch 2019 kupitia micano4u na nika install kwenye hiyo hiyo directory kupitia instruction za kwenye video.

Tatizo ni kwamba hakuna mabadiliko ninayoyaona kwenye game.kama wachezaji ni walewale hata graphics hazijachange sasa sijui tatizo ni nn?

Hizi ndo specifications za laptop yangu.
 
copy hilo file liitwalo game then kalipaste kwenye original game folder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…