PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

H naona zipo nyingi na bei ni rafiki pia hata review nyingi.

Huananzhi h311 vhc plus Motherboard Intel LGA 2133 Unterstützung 6/7/2400 Generation DDR4 2666/3,0 MHz 32GB m.2 Sata3 USB VGA - AliExpress 7

ila Kuna hii hapa juu naona cheap na ina orders 48 na hakuna review, je ni red flag..??

Nimepata hii naona itafaa.
H series ni budget motherbpard pia angalia website ya manufacture kama kuna bios update ya kuwezesha gen ya 7 kufanya kazi.
 
Nimeanza kushusha efootball 2025 maana ni bure. Ni muda tangu niachane na pes ngoja nione tena
 
Football Life what a game🔥🙌🏽
20250219_001702.jpg
 
Back
Top Bottom