Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye FC25?Ukabaji ni ishu bado yaani nimecheza game zinaisha na magoli zaidi ya 8. Level world class.
Online bot bado ni tatizo.
Noana dogo pia analalamika hapa nyumbani nikajua Kiwango chake tu kidogo, siku hizi hawana ushindani so hawana incentive ya kuboresha hilo game lao.Ndio
Ww huchezi fc 25...?Noana dogo pia analalamika hapa nyumbani nikajua Kiwango chake tu kidogo, siku hizi hawana ushindani so hawana incentive ya kuboresha hilo game lao.
UFL nalo umelijaribu?
Mi natumia pc, wao wanacheza na console, sijakaa kucheza serious kusema kweli, labda dk kadhaa ni waangalie basi.Ww huchezi fc 25...?
Yaah yuko sahihi. Yaani angekuwa anafungwa yeye tu sawa sasa how game ni kawaida kuisha 7-5
yaani ungejaribu ukabaji sijui ukoje yaani wanakuwa wanasindikiiza sio kukaba.. unaweza muweka mcheza kuziba mbele striker anakuja mbele beki anamkwepa...
Match zinaisha na magoli kama mvua...
Yaani fifa 19 game play ni bora kuliko hii Kidogo na 23.
Upo sahihi nimeliona steam nikajua imetoka, kumbe ni pre order tu N tarehe haijulikani liniUfl kwenye pc naona bado halijatoka.
Kwenye controller eka assisted kila kitu labda inaweza saidia
Hilo cjui unlihandle vip mikonon, ikiwq pad tu ya xbox kwang naiona kubwa🤔Technology now iko mbali aisee now kuna hii
Ina nguvu sana...
View attachment 3207005
Ni kapc ka kiganjani.
Lenovo legion go
Usd 700.
MOtherboard standard za Atx/itx ama hizi za Oem kama HP na dell?Wakuu Nina uhitaji wa motherboard ya i5 Gen 7 (LGA 1151) bajeti iwe rafiki pia.
cc Chief-Mkwawa
Shukran mkuu, naona hapa ni chache nitaagiza AliExpress.MOtherboard standard za Atx/itx ama hizi za Oem kama HP na dell?
Kina hp na dell waweza nunua machine ya pentium gen 6/7 chomoa cpu weka cpu yako.
Zinakua chini ya 150k
Bei Facebook anmelden
Melde dich bei Facebook an, um dich mit deinen Freunden, deiner Familie und Personen, die du kennst, zu verbinden und Inhalte zu teilen.www.facebook.com
Kama unataka Standard motherboard vyema agizishia online. Naona Aliexpress kama 100k
Kuna H, B na Z series Z zinakua high-end na bei inachangamka zaidi B most of time ni value na H ni lowend. Ukipata hizo B sio mbaya.Shukran mkuu, naona hapa ni chache nitaagiza AliExpress.
H naona zipo nyingi na bei ni rafiki pia hata review nyingi.Kuna H, B na Z series Z zinakua high-end na bei inachangamka zaidi B most of time ni value na H ni lowend. Ukipata hizo B sio mbaya.