PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Gpu za intel bei rahisi sema ndo hivyo zinataka Mobo zisupport rebar, mashine zetu hizi za kizamani hazikubali. Zina RT core nzuri Arc gpu.
Hizi maxsun haziingii hizi intel arc
 
Mkuu nisaidie list ya gpu nzuri kwa budget ya laki 7 hadi laki 8

Now nimeziona hiz

Rx 6700xt

Na rtx 3060
Hio Arc mpya ya Intel B580 nzuri mkuu 12GB Vram, cheki Reviews Zake Gamers nexus na Hardware unboxed,

3060 iwe 12GB, kwenye hizi games mpya inakimbiza hadi 4060.

6750Xt badala ya 6700 dollar imeshuka possible kupata 6750 yenye 12GB.
 
Kama hii

1000075232.jpg
 
Shida nyingine alliepress zimejaa tu

Rtx 3060
Na rx 6700xt

Hizi nyingine naona hakuna kabisa

Na nyingi ni mllse. Ni manufacture wa kichina bt coz nimeshatumia bidhaa zake naiamini maana sijakutana na chamgamoto.
 
Hata 3060 sio mbaya mkuu, Nvidia Drivers zake zipo vizuri sana.
 
Poa sasa psu yangu ni watt 500

Na ina pin 8 + 6 kwa ajili ya gpu.

Vipi itasukuma. Maana naona recommend ni watt 550

Pia motherboard yangu ni pci 3.0 (japo nimeona itafanya kazi bila shida)
 
500W psu sio issue, at maximum 3060 inatumia watts 170, unless una ma Hdd na ma accessory mengi kwenye desktop you will be fine
 
zipo disk 4 ndani. Na ssd jumla tano.
Ushauri mkuu kama una hardware ya kuangalia watts ngap pc inatumia tumia, kama hauna tumia hata software, ili uwe na uhakika kabisa,

Software tunatumia HWinfo, hardware kuna kama multiplug zina display, unaichomeka kwenye switch halafu pc unaichomeka kwenye hio multiplug ina kuonesha kiasi gani psu inatumika
images-14.jpeg
 
View attachment 3175971
Sema nahisi itasuku
uma vzuri tu..

Maana kama hii rx 580 ni tdp 185

Itashindwaje hiyo yenye tdp 170???
 
Yep, Rx 580 inakula umeme kuliko 3060.
Naona rx 5700xt 8gb
Price imeshuka sana vipi otafaa niivute au jau.

Sema umeme pin 6+8
Watt 600 required
Tdp 225

Semq nikiingia machinga naweza bahatisha psu ya watt 600.
1000077987.jpg
1000077986.jpg
 
Back
Top Bottom