Tusubiri dirisha lifungwe kwanza then ndio nyingi zitatoka. Smoke patch bado wako kwenye project.
Mkuu mimi ninayo patch ya Next season patch by micano nasubiri tu option file la transfer na Kit si inawezekana au unatakiwa nifumue patch yote niweke mpya......Pes patch lazima.
eFootball PES 2020Legend Edition
OS: Windows 7 SP1/8.1/10 - 64bit. Processor: Intel Core i5-3470 / AMD FX 4350.
Memory: 4 GB RAM.
Graphics: NVIDIA GTX 670 / AMD Radeon HD 7870.
Naona konami safari hii wamelegeza kidogo kwenye ram.
una next season patch ya mwaka huu?
Mm kwangu natumia patch ile ya nxt season ya champions league micano ya mwaka jana
Nimeipata itakuwa trh 27/9Je vipi kuhusu Fifa 20 wanatoalini?
ni legend edition...eFootball PES 2020Legend Edition
OS: Windows 7 SP1/8.1/10 - 64bit. Processor: Intel Core i5-3470 / AMD FX 4350.
Memory: 4 GB RAM.
Graphics: NVIDIA GTX 670 / AMD Radeon HD 7870.
Naona konami safari hii wamelegeza kidogo kwenye ram.
Ram kuipata Ni rahisi Ila cpu na Graphics wamekaza balaaeFootball PES 2020Legend Edition
OS: Windows 7 SP1/8.1/10 - 64bit. Processor: Intel Core i5-3470 / AMD FX 4350.
Memory: 4 GB RAM.
Graphics: NVIDIA GTX 670 / AMD Radeon HD 7870.
Naona konami safari hii wamelegeza kidogo kwenye ram.