PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Labda gpu tu.

I5 3rd gen siku hizi nyingi sana na bei chee.

Halafu chief naona kuna gtx 1650. Vipi iko vizr ukifananisha na 1050ti naona bei zimefanana. Ila gtx 1650 imetoka mwaka huu.
Bei gani hii
 
Mkuu hiyo FIFA19 android Offline naomba specification ya android inayoitajika, halafu mpaka uwe na PSPP au inatumia Obb kama FTS?
Ni obb mkuu.

Kuhusu android sijajua maana me sichezagi game kwenye simu.
Unaweza kucheki kwenye hiyo link itakuwa na maelezo.
 
Msahada Nina pes 2017 ni download paxh zak mikano lakini Niki apply azifanyi kazi tatiz litakua nn paxh zot ninazo
 
Msahada Nina pes 2017 ni download paxh zak mikano lakini Niki apply azifanyi kazi tatiz litakua nn paxh zot ninazo
Umegenarate CPk file na dpfilelist?

Fata process zote za tutorial video.

Au download za smokepatch haziitaji kugenarate.
 
Chief-Mkwawa hivi pes 2020 na Fifa itatoka kweli kwenye ps3 au washaachana na ps3?
 
Kwa mwenye uhitaji wa graphics card for gaming tuonane tufanye biashara

Graphics card no GTX 750 1GB ipo sana na inasukuma magame yote kama Fifa 18, 19 na mengine mengi

Bei maelewano
 
Kwa mwenye uhitaji wa graphics card for gaming tuonane tufanye biashara

Graphics card no GTX 750 1GB ipo sana na inasukuma magame yote kama Fifa 18, 19 na mengine mengi

Bei maelewano
cc publito
 
Mwenye set up za FIFA za mwaka wowote msaada plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…