PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)


Shukrani sana mkuu..ngoja nijaribu
 

Mkuu account ya steam for pc games naweza kupata wapi nataka kununua baadhi ya games
 
Mkuu account ya steam for pc games naweza kupata wapi nataka kununua baadhi ya games
Za steam pia zipo sema sikushauri, mtu anakupa account, unadownload game then unaset steam ikae offline halafu unacheza games, siku steam wakiamka vibaya wanakwambia ingia online ukiingia tu wanakudai account, mwenye account ashabadili password inakula kwako.

Games za PC mara kwa mara zinakua kwenye sale angalia Epic, gog, Amazon prime etc. Ni game Gani unahitaji?
 
Nikitakaa kuinstall pes 2016 na game zote inakuja hii option msaada Hapa nafanyaje wazee
 
Chief nimekuchek dm

Tafadhali angalia inbox Yako
 

Sawa, mkuu nataka Red dead redemption2, na Fc24
 
Mkuu Chief-Mkwawa Habari za masiku...nimeona AliExpress kuna gaming PC nzuri kwa 450k na 500k , je huwa zinakuwa vizuri vipi kodi zake zinabebeka?
 
Weka link mkuu, ila mara nyingi hapa Tanzania machine zinakua rahisi kuliko China.
Tanzania hapa kariakoo?

Nimeshindwa weka link ... Ngoja nifatilie za hapa Tanzania nione kama zipo za sifa hii

6GB RAM 64GB 128GB 256GB 512G 1TB 1000G Optional Windows 10 14 Inch Mini PC Office Notebook
 
Nilichekewa january fc 24 ilikuwa usd 20 tu..
 
Mkuu Chief-Mkwawa Habari za masiku...nimeona AliExpress kuna gaming PC nzuri kwa 450k na 500k , je huwa zinakuwa vizuri vipi kodi zake zinabebeka?
Usafiri ndio chamoto unakuta bei mars mbili ya bidhaa. Bidhaa nzito sheeping ndio kipengele. Ila AliExpress wako vizuri nimenunua vitu vingi sana sijaona changamoto.
 
Epic store na Steam wana FC24 kwa $14 sasa hivi, standard version. Sijafuatilia zaidi kama kuna code ya kushusha zaidi.
Nimeiona bana ngoja niinunue chap...


Sema sasa nikishalipia vipi kuhusu kudownload me nataka kudownload mdogo mdgo maana sina haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…