Best formation yangu ni 5-3-2, tackling na defending tactics kama zote. Napenda one touch yaan pasi tu fupi fupi za uhakika, ukizubaa kidogo inaenda pasi ndefu hao wawili hapo mbele kwenye 5-3-2 wanamaliza kaziMimi huwa nacheza possession football,best formation kwangu ni 4-3-3.
Beki nne hapo zinatengeneza mfumo mzuri wa ulinzi kuzuia hao attackers wa opponent,timu inakuwa ipo salama inapoenda mbele na mpira .
Kwenye midfield hapo,nawekaga CM wawili na DM mmoja,DM mmoja anapatrol ulinzi pia wanaunganisha possession na CMView attachment 2614277
Nakubali!! PES Kuna ule mtindo unazubaa kudefense inapigwa sambusa mbele kwa CF ,anakimbilia peke yake anabaki na kipa anascore unaitwa katiBest formation yangu ni 5-3-2, tackling na defending tactics kama zote. Napenda one touch yaan pasi tu fupi fupi za uhakika, ukizubaa kidogo inaenda pasi ndefu hao wawili hapo mbele kwenye 5-3-2 wanamaliza kazi
[emoji23][emoji23]sio powaPES ndo best game kwangu, likifuatiwa na PUBG pamoja na Super Mario (Japo sichezi tena)
Huwa napenda ile namnyoosha Opponent wangu hadi Peter Drury na ile sauti yake anasema "Demolition, Destruction, Annihilation ...."
Mkuu mimi beginner kubadili formation unabonyeza wapi nina pes17 patch23 ndo nimeanza kujifua hapaBest formation yangu ni 5-3-2, tackling na defending tactics kama zote. Napenda one touch yaan pasi tu fupi fupi za uhakika, ukizubaa kidogo inaenda pasi ndefu hao wawili hapo mbele kwenye 5-3-2 wanamaliza kazi
Ukifika ubungo au magomeni ukiulizia sparta watakuleta kwangu bingwa wa ps2 enzi hzo sio ps3, 4 na 5 mtu mwez tu nae anakua et bingwa anasumbua watuMimi napenda 5-2-1-2 counter attack yaani hunifungi ila mm nakubonda
L2 ndo au R2 ndo yenyew kwenye kukaba nyngne mbwembwe tuKwenye kudefense hapo huwa natembea na jockey (log)na ile "X"(wanaita kukabia njia)ingawa naona kwangu haifanyi kazi Sana kwenye ps4 Ila ps 3 iko accurate.
Then, sometimes Unaweza changanya na ile "[box]+X" kuita watu wawili au "[box]×2 Kisha unaishikilia kufanya secondary pressing.
Kwa kiasi chake inasaidia ,muda mwingine vipigo haviepukiki
Mfumo huo naweza cheza hata mechi kumi usipate goli hata moja uku nikikupa kipondo kitakatifu kwa kauntaMimi nilikuwa natumia mfumo Kama huo timu ya Chelsea, unadefense vizuri shida unascore goals chache .
Yani huu labda nicheze na master lengo likiwa kupunguza idadi ya magoli tu