Mgaigai
Member
- Nov 20, 2021
- 44
- 70
Kila mtu Ana starehe yake ya kipekee wakati wa mapumziko yake,kwangu Mimi gaming (hasa Pes)ndio ya kwanza.
Najua humu madon wa hili game wapo,ningependa tuwe tunashare techniques,tactics zile za in-play kote kwenye defending, attacking ili kuimprove wakati tunacheza pia kuenjoy zaidi.
Tubase kwenye Pes ya PlayStation.
Cc:Gamers
#No games no life.[emoji110][emoji110][emoji110]