Wakati naanza game nilikua nacheza PES ila nikacheza ya 2 na 3.
Nilivyofika 3 nikawa nachanganya PES na FIFA.
Nikajikuta nimeegemea zaidi FIFA.
Na hata nilivyofika 4 nikaendelea na FIFA.
Najikuta siwezi kabisa kucheza PES nilijaribu kucheza PES ya 4 nikajikuta napiga pass vizuri ila kuscore ndiyo tatizo.
Ila wakati nacheza formation nilizokua natumia ni 4 2 2 2 au 4 2 3 1.
Defense ilikua naweka swarming/ gegenpress, kisha nabana squad, halafu naopt kuattack kwa kupossess mpira.
Anyway, kwenye FIFA kuna vitu unaweza fanya kwa urahisi kuliko PES mfano chenga, one two, box r2 zilipunguzwa ukali kwenye 22 halafu header zikawa strong. Ila huku sasa box r2 ziko hot ila header inabidi uzilie timing. Also box l1 kwenye 23 FIFA unaweza ukakosa magoli kimasihara yaani unahitaji kua mwangalifu kuliko 22