PES Masters Club

PES Masters Club

Sisi Watu wa FIFA huu uzi hautuhusu.

iv kwanza unaanzeje kucheza na striker mmoja mbelešŸ¤”
 
Wakati naanza game nilikua nacheza PES ila nikacheza ya 2 na 3.
Nilivyofika 3 nikawa nachanganya PES na FIFA.

Nikajikuta nimeegemea zaidi FIFA.

Na hata nilivyofika 4 nikaendelea na FIFA.

Najikuta siwezi kabisa kucheza PES nilijaribu kucheza PES ya 4 nikajikuta napiga pass vizuri ila kuscore ndiyo tatizo.
Ila wakati nacheza formation nilizokua natumia ni 4 2 2 2 au 4 2 3 1.

Defense ilikua naweka swarming/ gegenpress, kisha nabana squad, halafu naopt kuattack kwa kupossess mpira.

Anyway, kwenye FIFA kuna vitu unaweza fanya kwa urahisi kuliko PES mfano chenga, one two, box r2 zilipunguzwa ukali kwenye 22 halafu header zikawa strong. Ila huku sasa box r2 ziko hot ila header inabidi uzilie timing. Also box l1 kwenye 23 FIFA unaweza ukakosa magoli kimasihara yaani unahitaji kua mwangalifu kuliko 22
 
Halafu uchaguzi wa timu unamatter.

Kwenye 2 PES ya 2017 au 16 ukichukua Arsenal na haujazoea timu inayotembea unaona timu inateleza. Halafu mwaka huo Liva wazembe tu.
Timu kali zilikua United, Madrid, Bayern mi nilikua natumia Bayern au Juve
 
4-1-2-3 quick counter amna watu nawa bonda kama wanao cheza possession football .mimi ni ku attack tu sina mashauzi .

mfumo pinzani sana kwangu uwa ni 4-4-2 na 4-3-3 anae cheza vizuri ...uni lazimu kubadili t0 4-2-1-3.
lakini pale middle nawa nyanyasa sana nki zidiwa nakimbilia pembeni kutumia wings wenye speed ...
 
Haya madude sijagusa na mda ila Pes ilikuwa inakera kwenye ufungaji Ps2 kidogo tu umepaisha
 
Sisi Watu wa FIFA huu uzi hautuhusu.

iv kwanza unaanzeje kucheza na striker mmoja mbele[emoji848]
Nilicheza FIFA 22 nikafungwa 8-4,hizo dribble Sasa Rb anadribble kutoka nyuma Hadi karibia na katikati duuuh
 
4-1-2-3 quick counter amna watu nawa bonda kama wanao cheza possession football .mimi ni ku attack tu sina mashauzi .

mfumo pinzani sana kwangu uwa ni 4-4-2 na 4-3-3 anae cheza vizuri ...uni lazimu kubadili t0 4-2-1-3.
lakini pale middle nawa nyanyasa sana nki zidiwa nakimbilia pembeni kutumia wings wenye speed ...
Kweli kabisaa.Looser Haina mashauzi labda Ps iwe yenu unacheza na wana
 
Back
Top Bottom