PES Masters Club

Nilicheza FIFA 22 nikafungwa 8-4,hizo dribble Sasa Rb anadribble kutoka nyuma Hadi karibia na katikati duuuh
Kama umecheza PES PS2 na 3 hilo kawaida. Kwa FIFA hiyo imeanza kwenye 4 wakati PES ilivyofika 4 ndiyo kudribble kumepunguzwa kabisa. Ila kama unajua kudefend kwenye FIFA hakuna namna mtu atadribble huo umbali hujauchukua mpira.

Na kwenye 2 Ibrahimovic alikua anadribble katikati ya watu. Adrian Mutu ndiyo mama yangu
 
Oya hiyo 2 ni hatari dribble 1, dribble 2 likipigwa box na Ronaldo au Ibrahimovic kama hujachezesha kipa basi mpira kati
Hayo mawazo yako ukicheza na wasiojua ndo utapata muda wa kupiga mashut katka ya uwanja kwalevel yangu mm niliofikia katka ps2 kunifunga magoli hayo labda goli katka mechi 20
 
Nilichokua nafanya Ronaldo na ibrahimovic nammark na bek moja ya pemben na middle wawil namba 8 na 10 pia wanamark yani hapo awez tembea hata hatua 5 nachukua mali lakn mfumo huo ni kwaajili ya wale wapinzani wakwel haswa sio wajinga wajinga
 
Naweka plan A na Plan B zote zinakua auto recommanded plan A nikishambuliwa nakua na swarp winger, formation inakua 3-2-3-2 na pressure, plan B nikishambuliwa nakua kwenye mfumo wa 5-3-2 ni hatr tupu na nikitoka natoka na kaunta ya ajabu inasaidiwa na one- two( ps2)
 
Hayo mawazo yako ukicheza na wasiojua ndo utapata muda wa kupiga mashut katka ya uwanja kwalevel yangu mm niliofikia katka ps2 kunifunga magoli hayo labda goli katka mechi 20
Sijawahi kucheza mpira wa hivyo kuanzia nacheza PES mpaka FIFA mi naenjoy kuona napiga pasi natengeneza shambulizi. Nafikiri ndiyo maana PES imenishinda
 
Ulianza tu ps3 hadi 4 au ulikua bingwa pia p2
Bob nimeanzia 2 FIFA nimeanza kucheza 3.

Mimi nilikua mzuri kukabia njia kwenye 2.

Hiyo man marking ukinifanyia nakuacha na one two au namhamisha mchezaji so mtu wako atahama kumfuata huku kuna gape linabaki.

Siwezi jiita bingwa
 
Mi nakufunga goli 2 na lukaku halafu napiga pasi tu
 
Bob nimeanzia 2 FIFA nimeanza kucheza 3.

Mimi nilikua mzuri kukabia njia kwenye 2.

Hiyo man marking ukinifanyia nakuacha na one two au namhamisha mchezaji so mtu wako atahama kumfuata huku kuna gape linabaki.

Siwezi jiita bingwa
Mtu anaetumia one-two hatukabagi kama ng'ombe nazuia sehemu muhimu tu kama kwenye angle ya nje ya box kushoto na kulia, kulitazama goli na kipa ukiwa nje ya box, nakuacha ucheze kwenye kbendera tu hata Cross siruhusi pia upige na sliding tackle nyingi za kukera usipo kua mvumilivu utatamani urushe ngumu
 
Kama kuna yoyote Yupo Dodoma na anajiona yeye ni Bingwa wa Fifa kwenye Ps4 anitafute tukazichape na Matokeo yaletwe humu kwa mfumo wa picha.
 
Mi sipitii pembeni, napenda kupita kati. Pembeni itabidi umtoke full back halafu CB. Sasa ishu ni kwamba unakuta CB ni Boateng akikusogelea tu unaacha mpira
 
Kwamm navocheza na maelezo yako ningekua nakupuna hela kila siku yan ungekua gari la mshahara langu
Mi sipitii pembeni, napenda kupita kati. Pembeni itabidi umtoke full back halafu CB. Sasa ishu ni kwamba unakuta CB ni Boateng akikusogelea tu unaacha mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…