Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kama umecheza PES PS2 na 3 hilo kawaida. Kwa FIFA hiyo imeanza kwenye 4 wakati PES ilivyofika 4 ndiyo kudribble kumepunguzwa kabisa. Ila kama unajua kudefend kwenye FIFA hakuna namna mtu atadribble huo umbali hujauchukua mpira.Nilicheza FIFA 22 nikafungwa 8-4,hizo dribble Sasa Rb anadribble kutoka nyuma Hadi karibia na katikati duuuh
Na kwenye 2 Ibrahimovic alikua anadribble katikati ya watu. Adrian Mutu ndiyo mama yangu