Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Umewafunga wagogo hapo unaanza kutishia watu JF.Mimi kwenye Magemu nimeshashindikana Hakuna wa kunifunga Humu JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewafunga wagogo hapo unaanza kutishia watu JF.Mimi kwenye Magemu nimeshashindikana Hakuna wa kunifunga Humu JF
Hata huko Dar hakuna wa kunifunga mimi ni Master kwenye hizo mamboUmewafunga wagogo hapo unaanza kutishia watu JF.
Inter au ChelseaUnatumia inter Milan
4? Fifa?Hata huko Dar hakuna wa kunifunga mimi ni Master kwenye hizo mambo
Yan mtu wa mikoani uwafunge watu wa dar! Itakua maajabu ya Karne maana kuna watu dar wanaendesha familia kwa kazi ya kamari katika magemu utamfunga ww unaecheza for leisure4? Fifa?
Mtu akichukua timu za epl na Italy hawez nifungaInter au Chelsea
Unatumia timu gani?Mtu akichukua timu za epl na Italy hawez nifunga
Tactical defendingMwaga nondo Comrade ,nimechoka kulipishwa Looser