tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
Pesa ambayo amelipwa / atakayolipwa floyd myweather baada ya kushinda kwa point katika pambano lenye utata , katika maamuzi dhidi ya manny pac
1. Ni zaidi ya mishahara ya mchezaji wa barcelona (mess) na mchezaji wa real madrid ( christian ronaldo) zote zichanganywe kwa miezi 5 mfululizo
2. Imevuka bajeti ya visiwa kama comoro, na nchi ya sudan kusini, na somali, na imekaribia kabisa bajeti ya zanzibar ya mwaka
3. Ni sawa na thamani ya mbuga ya mikumi na serengeti
4 . Imevuka bajeti ya wizara ya kazi na ajira, na wizara ya michezo na utamaduni ya tanzania
5. Imevuka na pesa wanayolipwa wabunge la tanzania na hata kenya kwa mda wote watakao fanya vikao hii pamoja na posho
Hii ndio pesa aliolipwa floyd my weather kwa siku moja tu,ya jana, pia atakuwa mwana michezo tajiri kuliko wote duniani